Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sema Mbeya ni kubwa 😁😁
Picha zote ni maeneo ya Iyunga mkuu, kasoro moja ambayo ni ya maeneo ya stendi kuu
Iyunga daaah...
Kuna sehemu inaitwa ikuti kule na inyara sasa msingi nimesoma ikuti mkuu...

Kipindi hiko nilikua naishi kota za pale depo mkuu...
Daaah mbeya green city aiseeee 💯💯💯💯💯🙌🙌🙌🙌 mbeya pazuri
 
Njoo mbinga dogo😁,Kuna Kijiji kunaitwa kindimba kutakufaa,huko

Njoo mbinga,nikupeleke Kijiji kunaitwa kindimba chini,utaenjoy
Kweli au unanitania 😂😂😂🙌🙌🙌
Kingine huko si pakijani vipi ntapata lile bardi kama la njombe.

Sasa nataka nianze kufanya tafiti ja mambo mengine ya kujiandaa mdogo mdogo.

Mi nakuja naimani mwenyeji.upo..
Huko unaponipeleka naimani tapapenda tu mana hata jina naona limenifurahisha Kindimba
 
Napenda sana mkuu...
😂😂😂😂🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌


Vipi twende
Mimi mbona nilishatangulia? Niliwahi kuishi Mwananyamala Dsm kwa miezi miwili pakanifanya nipachukie kabisa Dsm nikanunu kaeneo Korogwe, sshv Mbweni
 
Huku kijani kijani tupu,japo mbinga mjini kumevamiwa na wakinga na wachaga kumejaa,,huko kindimba ni patulivu hasa yaani unajimilikisha TU ardhi,labda umeme utalipia lkn maji yanatiririka kutoka milimani.
Duuuh aiseee nakuja huko kbsa..
Huu mwezi hauishi ntakua tayar nishakupa feedback....

Usije nikimbia tuu 😂😂😂🙌🙌🙌
 
Mimi mbona nilishatangulia? Niliwahi kuishi Mwananyamala Dsm kwa miezi miwili pakanifanya nipachukie kabisa Dsm nikanunu kaeneo Korogwe, sshv Mbweni
Daaaah tayari ushamaliza hapo...
Unainjoi maisha mkuu..
🙌🙌🙌🙌💯💯💯💯💯
 
Back
Top Bottom