Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Sina amani ya moyo na maisha ya mjini

Njoo jiji la Mbeya, ni kama mjini na kijijini at the same time na hakuna joto
Foleni inaenda kuisha soon, kwa sababu wanapanua barabara kuu na ndio barabara pekee yenye foleni, na foleni sio kubwa sana

Ila huku misitu, milima, chemchemi vyote vipo ndani ya jiji kwa hiyo Nature ipo karibu sana, na gharama za maisha zipo chini
View attachment 3554419
View attachment 3554425View attachment 3554426View attachment 3554427View attachment 3554428View attachment 3554429View attachment 3554430View attachment 3554431View attachment 3554432View attachment 3554433
Mkuu naona kabisa umepiga picha maeneo ya itezi juu kule karibu na mlima kawetere sio..

Mbeya nimekaa mkuu nimesoma itezi sec hapo...
Nimekaa isyesye pia an daah kule kuna life kabisa aiseee
 
Hali hii huwatokea wengi, hasa mambo ya kiuchumi yakiwa hayaendi sawa. Sijui kwako uchumi unasomaje.
Mkuu uchumi wangu upo kawaida as day nafika hapa mjini...

Ndio maana nimetanguliza kusema sio kama nina uchumi mbovu hapana.

Nipp na ofisi inayo nipa basic need kabisa ila tu najikuta nipo kwenye stress ambazo zinasababishwa na life la hapa ile life style...
 
Hukubaliani na lifestyle unayoishi, angalia isije ikakuletew msongo wa mawazo na sonona. Kubadilisha mazingira pia ni tiba.
 
Wakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.

Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.

Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.

Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.

Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.

Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.

Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.

Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....

Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.

Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
Hii kitalaamu inaitwa Urban Fatigue

Ndio maana watu wana rural vacation homes
 
Hukubaliani na lifestyle unayoishi, angalia isije ikakuletew msongo wa mawazo na sonona. Kubadilisha mazingira pia ni tiba.
Ni kweli mkuu mpaka sasa nakuta sina amani..
Unakuta hudaiwi
Huna familia
Huna simu za matatizo
Huna majukumu

Lakini nina stress sijui zinatoka wapi ile life ya kuwa near na watu hapa inanipa stress tu..

Nashangaa kuna wenzangu hawana source ya income ila wapo happy wapo good wana amani ila mimi wapi mpaka najishangaaa shida nn.

Hu utulivu huwa unakuja siku ikinyesha mvua ndo huwa na amani navoona ile rangi ya kijanai.

Mara nyingi nikiwa na hii hali huwa mitandaoni kuangalia picha za vijijini mkuu
 
Kabla ya kuamua kwenda moja kuhamia kijijini(remote area), fanya uende kukaa kwa mwezi mmoja au zaidi kidogo.
Nimesoma kitu hapa, urban fatigue. Ukiishi mjini throughout bila kwenda kijijini kwa mda mrefu, ubongo unachoka!!
 
Mkuu naona kabisa umepiga picha maeneo ya itezi juu kule karibu na mlima kawetere sio..

Mbeya nimekaa mkuu nimesoma itezi sec hapo...
Nimekaa isyesye pia an daah kule kuna life kabisa aiseee
Sema Mbeya ni kubwa 😁😁
Picha zote ni maeneo ya Iyunga mkuu, kasoro moja ambayo ni ya maeneo ya stendi kuu
 
Kabla ya kuamua kwenda moja kuhamia kijijini(remote area), fanya uende kukaa kwa mwezi mmoja au zaidi kidogo.
Nimesoma kitu hapa, urban fatigue. Ukiishi mjini throughout bila kwenda kijijini kwa mda mrefu, ubongo unachoka!!
Daaah mkuu acha kabisa...
Tajaribu ila sizani maana ndo naanza maandalizi hapa ya kwenda mazima ..... Nataka niweke ishu za money flow kabisa
 
Back
Top Bottom