CHUKUA MPANGO HUUWakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.
Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.
Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.
Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.
Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.
Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.
Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
hahahaha karibu tena mkuu,mji bado upo unapambana kua kama dasalamu😁njombe town niliishi sana mitaa ya national kuna mzee anaitwa tweve kajenga nyumba zake kama hostel hivi....umenikumbusha mbali mkuu
Nitakaribia mkuuhahahaha karibu tena mkuu,mji bado upo unapambana kua kama dasalamu😁
Mkuu ujue mi nimekaa hapo miaka.miwili ila napajua kinoma noma nimetembea sana mkuuYah nilikuwa natimba sana pande hizo, na kuna club moja hivi inaitwa jonhson mall ipo apo apo njombe town sijui kama unaipata? Ina balaa nayo
Ahahahha ngoma ni kwa sababu ya bardi watu wanapigana miti kila leoKitu kilichonishangaza njombe, ndio mkoa unaongoza kwa ngoma ila wadada wanatoka sehemu mbali mbali kuja kujiuza nilistaajabu sana
😂😂😂😂😂 Haya sasaNitakaribia mkuu
Mmmh mkuu acha basi si maneno mazr hayoMaisha ya kijijini hapana aisee.Midudu ya kila aina ew.Watu wamechoka wamechakaa mikono migumuu.
Back to you.
Uza vyote ulivyo navyo mjini katafute pori maeneo ya wahadzabe uhamie.Wale si watu wa circle kubwa.
We jamaa ebu naomba nipe info kwa uzuri mbna umeongea seriously sana hivo et ebu naomba nielekeze vzr mkuuSikutishi nakupa picha halisi ya uko vijijini, mbali na magonjwa,kuna umaskini wa kutisha, kuna kitu kinaitwa masika(kipindi cha kupanda) hichi ndio kipindi mtu wa miaka 20 anachakaa na kuwa kama 56 ni kigumu balaa, wenye ndugu wanaendaga mijini huko,niseme tu kijijini ni kwenda kusalimia na kurudi mjini lakini sio kuishi
We jamaaa nimegundua unapenda totoz kinoma an wewe unaongelea watoto tuu toka mwanzo 😂😂😂😂😂Njombe town kupo poa sana ni moja ya sehemu nilizozipenda sana, kuna hotel inaitwa hillside nayo iko poa sana, ndio mara ya kwanza kuona mdada wa kiarabu anajiuza njombe kwenye hii hotel
Bado nakusanyanya kusanya data mkuu ila bado sijapata exactly locationMkuu kama bado hujapata Kijiji cha kwenda nikupe lokeshen chap kwenye vijiji vya wamasai ukachunge ng'ombe, Kadhalika pia wakufundishe jinsi ya kufanania nature.
Duuuh hatareee hii mkuuCHUKUA MPANGO HUU
Nimekuwekea mtiririko mzuri kama proposal ya mradi. Pia nimechagua ukandaa ili mpango uwe na mwelekeo.
1. Uchaguzi wa Ukanda
Ningependekeza Ukanda wa Nyanda za Juu Kusini:
Sababu:
- Iringa
- Mbeya
- Hali ya hewa nzuri kwa kilimo na ufugaji
- Maji yanapatikana kwa urahisi
- Ardhi ni yenye rutuba
- Inafaa kwa miradi ya samaki, kuku, ng’ombe na mazao
MPANGO WA MRADI WA SHAMBA (HEKARI 100)
Hatua ya 1: Uchaguzi wa Eneo
- Chagua eneo kwenye ukanda wa Nyanda za Juu Kusini (Iringa/Mbeya)
- Hakikisha:
- Kuna maji karibu (mto au kisima)
- Barabara inafikika
- Ardhi inafaa kwa kilimo na ufugaji
Hatua ya 2: Ununuzi wa Ardhi
- Nunua hekari 100
- Hakikisha:
- Ardhi ina hati au taratibu halali
- Imehakikiwa mipaka
- Imeandikishwa kwa jina lako
Hatua ya 3: Mpango wa Ramani ya Shamba
Ajiri planner au architect akuandalie master plan ya shamba.
Ramani igawanye maeneo yafuatayo:
- Eneo la makazi
- Nyumba yako
- Ofisi ya shamba
- Nyumba za wafanyakazi
- Eneo la ufugaji
- Ng’ombe
- Mbuzi
- Kuku
- Sungura
- Bata
- Samaki
- Eneo la kilimo
- Chakula cha binadamu
- Mazao ya chakula cha mifugo
- Eneo la viwanda vidogo
- Mashine za chakula cha kuku
- Mashine za kusaga nafaka
- Mashine za kusindika maziwa
HATUA ZA UJENZI (PHASES)
Phase 1: Settlement
- Jenga makazi ya muda
- Anza kuishi eneo la mradi kusimamia kazi
- Tengeneza:
- uzio wa shamba
- kisima cha maji
- barabara ndogo ndani ya shamba
Phase 2: Maandalizi ya Miradi
1. Ufugaji
Anzisha taratibu:
Faida:
- Samaki (mabwawa)
- Kuku
- Ng’ombe
- Mbuzi
- Bata
- Sungura
- Chakula cha familia
- Biashara
- Mbolea kwa mashamba
2. Viwanda Vidogo
Anzisha:
- Mashine za kutengeneza chakula cha kuku
- Mashine za kusaga nafaka
- Mashine za kusindika chakula cha mifugo
3. Mfumo wa Maji
- Visima
- Tangi kubwa la maji
- Mabomba ya kusambaza maji
4. Ulinzi
- Uzio wa shamba
- Walinzi
- Kamera (kama inawezekana)
Phase 3: Usajili na Vibali
Fanya taratibu za serikali:
- Usajili wa biashara
- Vibali vya mifugo
- Kodi na leseni
- Usajili wa viwanda vidogo
Mwisho Mzee
- Kukamilisha miradi yote
- Kufanya ufunguzi rasmi wa shamba
- Kuwakaribisha watu kwa dua ya baraka
- Kisha kula ubwabwa pamoja
chuma hicho
Ndio kipo na kinachonisumbua ni hali ya kupigiwa simu kila leo ni ishu za pesa pesa na weww bado life la kelel siwezi mkuu bora nende huko nikajifungueKuna kitu kinakusumbua ndio maana unawaza hivyo
Nishawahi pitia Hali kama hiyo na nikawaza hivyo hivyo unavyowaza wewe
Huku ndo sipataki hukuUsije mjini - Juma Mpogo
View attachment 3555230View attachment 3555227
View attachment 3555228
View attachment 3555229
Mimi pia Nina akili za kuingia huko Kijiji ndichi ndani kabisa,nikakae kwenye eneo la hela kama mbili hivi ,nasemezana na kuku na mbuzi tuWakuu salam alykum
Ndugu katika imani niseme ukweli tu.
Sio kama nina hali ngumu ya maisha laaah ila tu kiukweli sina.amani na maisha ya mjini.
Napachukia sana sna sana sana
Natamani nikaishi vijijini huko mbali kabisa.
Mi kazi yangu ikawa ni kulima, kufuga na kufanya kazi za kijijini.
Napenda sana niwe karibu zaidi na nature, tofauti na maisha ya huku mjini kelele, joto na ugomvi kila siku.
Napenda maisha ya kukaa mbali na ndgu jamaa na marafiki nataka niwe na mtandao mdogo sana wa marafiki tena sio marafiki ni kama majirani tu.
Napenda maisha yangu yote nimalizie huko.
Napenda niishi kama babu zetu ambao walikua wanakaa vijijini huko ndani ndani ndio kitu napenda.
Je nafanyaje ili niweze kufanikisha jambo langu....
Nitafurahi sana pia akipatikana mtu ambaye ana wiwa kushirikiana na mimi katika hili.. au atakae nipa wazo Bora la mimi nafikaje huko.
Asanteni 🙏🙏🙏🙏🙏
#twendezetukijijini Jumlisha
Mkuu project ako unaanza liniMimi pia Nina akili za kuingia huko Kijiji ndichi ndani kabisa,nikakae kwenye eneo la hela kama mbili hivi ,nasemezana na kuku na mbuzi tu
Kuwa makini usije tatua tatizo refu kwa njia fupi....mara nyingi Huwa inatabia ya kujirudia zaidi ya awaliNdio kipo na kinachonisumbua ni hali ya kupigiwa simu kila leo ni ishu za pesa pesa na weww bado life la kelel siwezi mkuu bora nende huko nikajifungue