Huko jijijini kina semeni hawanunui simu komaa mjiniMkuuu tuwe seriously...
Naenda kijijini na biashara yangu kubwa itakua hii hii ya kuuza electronic devices na ufundi simu vipi hapo
Mkoa gani?Kama una laki tano njoo nikupe heka 4 ni sehem tulivu ina vitu vya asil kama milima ambayo ukipanda juu yake nyuma yako unaona vijiji na jins mungu alivyofanya uumbaj mbele yako utauona mji ulivyojengeka na mengine meng oya lak tano tu nakua heka 4
Tembea uoneNakaribia mkuu..
Numekuja stuka mwishoni mwishoni japo wengine wanapinga hili kwa kusema kijijini hakuna huduma za jamiii..
Ni jambo ambalo si kweli maana vijiji ambavyo unasema hakuna huduma za jamii jua kabisa huko hata watu hakuna
Mkuu bado unishawishi kabisa aiseeeNilikuwa sijui kitu kuhusu typhoid,uti,amoeba na magonjwa mengine nilivofika kijijini niliumwa magonjwa yote hayo.Hata dawa feki na sub standard vijijini ndio kwao,kuna baadhi ya huduma za afya kuzipata mpaka halmashauri ambazo ni kama wilayani mfano; huduma ya kung'oa jino iyo mpaka halmashauri, kwengine daktari hakuna, kuna huduma nyingine mpaka referral hospitals
Njombe DC sio..karibu kijijini kwetu njombe
Hapana bana kuna huduma nyingine ni lazima kama kuchaji simu 😂😂😂😂😂😂Huko jijijini kina semeni hawanunui simu komaa mjini
Tunduma unanitisha tuu mkuuTembea uone
njombe town niliishi sana mitaa ya national kuna mzee anaitwa tweve kajenga nyumba zake kama hostel hivi....umenikumbusha mbali mkuukaribu kijijini kwetu njombe
Sikutishi nakupa picha halisi ya uko vijijini, mbali na magonjwa,kuna umaskini wa kutisha, kuna kitu kinaitwa masika(kipindi cha kupanda) hichi ndio kipindi mtu wa miaka 20 anachakaa na kuwa kama 56 ni kigumu balaa, wenye ndugu wanaendaga mijini huko,niseme tu kijijini ni kwenda kusalimia na kurudi mjini lakini sio kuishiTunduma unanitisha tuu mkuu
Nje ya mada, kuna mtaa unaitwa triple 7/vegas/ mtaa wa dhambi unaujua?Njombe DC sio..
Mazingira hayo yatakua yananikumbusha machungu niliyopitia pale NJOSS
Ahahaha kumbe na wewe ni mdau wa 777 au kiesanjombe town niliishi sana mitaa ya national kuna mzee anaitwa tweve kajenga nyumba zake kama hostel hivi....umenikumbusha mbali mkuu
Kwanni nisiujue mkuu..Nje ya mada, kuna mtaa unaitwa triple 7/vegas/ mtaa wa dhambi unaujua?
Mkuu siwezi ishi maisha ya mjini kabisa aiseeeeBwashee tatizo ni lipi?
Tafuta pesa kwa bidii uje ukae kijiji kama sisiMkuu siwezi ishi maisha ya mjini kabisa aiseeee
Daaah aiseee acha kabisaTafuta pesa kwa bidii uje ukae kijiji kama sisi
Yah nilikuwa natimba sana pande hizo, na kuna club moja hivi inaitwa jonhson mall ipo apo apo njombe town sijui kama unaipata? Ina balaa nayoAhahaha kumbe na wewe ni mdau wa 777 au kiesa
Njombe town kupo poa sana ni moja ya sehemu nilizozipenda sana, kuna hotel inaitwa hillside nayo iko poa sana, ndio mara ya kwanza kuona mdada wa kiarabu anajiuza njombe kwenye hii hotelKwanni nisiujue mkuu..
Nilikua natoroka shule naingia kule 777
Kitu kilichonishangaza njombe, ndio mkoa unaongoza kwa ngoma ila wadada wanatoka sehemu mbali mbali kuja kujiuza nilistaajabu sanaKwanni nisiujue mkuu..
Nilikua natoroka shule naingia kule 777