IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,017
Na shida yako kubwa ni ujuaji mwingi niliwahi kukuambia na hapa umethibitisha ,tour guide wanakuelekeza we unaleta mambo yako...hii inaonyesha namna gani we ni mrongo sana...tangu lini mgeni agombane na mwenyeji? Acha ujuaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepanda huo mlima zaidi ya mara tano (5) wengi wa wanaobabuka ngozi zao zinakuwa zimeathirika kwa namna moja ama nyingine, mfano wanaojichuna ngozi n.k
.
KINAPA hawashauri mwendo wa haraka hapa ndipo tulipokuwa tunakosana nataka niende haraka nikitembe taratibu nitachoka, ilifikia wakati nikagombana na tour guides sijawahi kurudi tena.
.
Mwanamke atembee taratibu na kila Stopping center tupumzike huu ujinga ulinishinda, mara mia Mt Margarita Uganda fanya unachoweza.
Sent using Jamii Forums mobile app