Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Hahahaaaa...wewe hunifai hata kidogooo maana miye nna mwendo plus kasi balaa...kutembea kwa mguu hakunishindi haswaa nikiwa na stress...naweza toka Posta mpk buguruni kwa mguu!!

Kipindi Niko Dodoma ndo nilikua natoka huku Kisasa mpk meriwa au kule kama unaelekea Udom kwa ngoko!!!

Jifunze kutembea best!!!

Sent using Jamii Forums mobile app


hahahahahaa yaan ww magonjwa ya bp unapishana nayo..yaan mm kwenda dukan huwa shida..yaan nachoka tu miguu mizito..khaa..nakaaga kbs baraban prmbrn nakaa fresh..yaan hapana ndo maana nasoma habari za kupanda mlima naishia kujicheka...safi aisee
 
baadhi ya pics
20181014_153649.jpeg
IMG-20180804-WA0022.jpeg
IMG-20180804-WA0003.jpeg
IMG-20180702-WA0265.jpeg
20180624_115812.jpeg
IMG-20180716-WA0020.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
!!!ukiwa busy huuguwi haki tena....uko kizungu zaidi....hyo Kali wapenda raha kama nyau La kizungu eeehhh!!
jana nilikua ...hahahhaa ..nitakuja kukupa ratiba yangu ya siku utanionea huruma..sijaugua malaria zaid ya mwaka sasa...yan mwili ukiushughulisha ht vimagua vinapishana na ww round abt...ila kwenye kutembea tu..mie ht vocha na

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahahahaa yaan ww magonjwa ya bp unapishana nayo..yaan mm kwenda dukan huwa shida..yaan nachoka tu miguu mizito..khaa..nakaaga kbs baraban prmbrn nakaa fresh..yaan hapana ndo maana nasoma habari za kupanda mlima naishia kujicheka...safi aisee
unatuma sana yaonekana daah!mazoea yako mabaya aseeh!kipindi Niko primary mmekimbia riadha kidogo na nilikua nashinda sema mdingi alikataa nisijiendeleze huko ustaadhi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Last time nimepanda as porter ilikua 2015 just imagine pprter ndo mtu wa mwisho kuondoka camp kwa sababu zile tents wanazolalia wageni inabd azianue azipack azibebe then aondoke nazo lakini tena anatakiwa afike next camp wa kwanza ili wageni wakute tents zimesimama tena plus food iwe iko tayari. Huwa nawaza how did i manage???

Sent using Jamii Forums mobile app
Really? Niliwaonea huruma sana wale watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilipanda kilimanjaro 2008 kupitia njia ya Rongai Rombo. nikashukia njia ya Marangu. Marangu njia laini sana next time naomba upandie Rongai uone rangi zote
Rongai pazuri sana kupandia kuliko marangu japo kuna vilima kidogo, tatizo la marangu ni atmosphere kuwa nzito hasa wkt wa kupanda...
 
Back
Top Bottom