Simulizi ya kweli kuhusu Gamboshi

Simulizi ya kweli kuhusu Gamboshi

Nimeishia hapo watoto wa darasa la sita wametongozana kesho yake binti kaja geto akiwa amejaindaa na wakapiga mechi. Au ilikuwa UPE?

Mkuu nimecheka.

Yaani uko darasa la sita una muita tu demu kesho anakuja ghetto halaf inaonekana ilikuwa kijijini unaish mwenyewe au.

Mkuu nilishukua Zaidi mpaka ajali inatokea, ni Zaidi ya gazeti la Mzalendo, niliishia hapo, waliomalizia wanaweza ku summarise.

Ukitaka kumficha mwafrika
 
Au promo kwanza
Std6 baada ya ajali akajikuta yuko hospitali basi akamuuliza nesi huko wapi Sheila na nesi machozi yakimlengalenga akajibu Sheila alikufa palepale.....

Yaani mtunzi huyu kiboko
Kumbe kuna ajali ilitokea? Hawa watoto maisha yao yalikimbia sana. Ngoja tusubiri summary mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom