Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,063
Itabidi niisome
sasa mwenzaa..sie uliotuita hapa ndo wadau wa hayo mambo au? (Jokes)![]()

Hapana mwenza bwana nimewaita msome na nyie mchafuke kama mimi
Itabidi niisome
sasa mwenzaa..sie uliotuita hapa ndo wadau wa hayo mambo au? (Jokes)![]()

Hapana mwenza bwana nimewaita msome na nyie mchafuke kama mimi
DaaaahNakupicha kama Sandra wewe, unajifanya sie kumbe ndie.

Ndefuuuuu sijasoma hata 😀Nimewaita ndugu zangu mje mjionee
Hii story yako inanyegesha bwanah
Hufai kabisa wewe. Mzima lakini?
Unajua shosti huu uzi niliuona ila sikuutilia maanani.
Unayo kesi ya kujibu
N
Nyegeka tu, asienyegeka tumtafutie kashata za kikojozi.

Hufai kabisa wewe. Mzima lakini?
Unajua shosti huu uzi niliuona ila sikuutilia maanani.
Jamani so sad!!!

Unayo kesi ya kujibu

Ngoja niusome mamii.Soma kipenzi changu![]()
Mwenyewe anajua😅😅Kesi tena?
OK. Huu sio uzi wa kesi. Sorry.
haya fanyeni kesi zenu lakini iwe kwenye maudhui ya uzi.
Bora uniite Simba kuliko kuniita mkuu.

Hutaki kuitwa mkuu ndio jf tunaitana hivyo