Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 70,963
- 93,946
Thanks dearest one...Kuna hii apa pia
Simulizi: Muhanga Wa Mapenzi
Mtunzi Ally Katalambula Sehemu ya 01 Jina langu naitwa Sofia ni mama wa mtoto mmoja. Katika familia yetu, mimi ni mtoto wa kwanza kati ya watatu, wadogo zangu wawili wote wakiwa ni wavulana. Nilitokea kwenye familia masikini, familia ya mzazi mmoja, yanii mama tu, ingawa kwa sasa naye...www.jamiiforums.com
I'll simply go to your profile page, then from there nitatafuta stories zote ambazo umefanya kupost na ku subscribe kwa hizo threads...