Simulizi: Nyumba Iliyojaa Dhambi

Simulizi: Nyumba Iliyojaa Dhambi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sihitaji kuulizwa swali lolote na wapenda nao hawa woiiii
nakupenda mume wangu
Utamu wangu, usingizi wangu, ubavu wangu.
Hakuna mwingine kama wewe kipenzi changu
uuuhuuu haki wewe mwanaume utanifanya niwe kichaa kwa utamu wako
Kipenzi changu ebu ishia kwanza, usimwage yote [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Karim nimemkimbia mm nilikuwa na nipo2 tunamshauri weka episode 3 au 4 kwa siku hasikii anashusha tu nikamwambia mm acha nikuage napenda sana story ila kwa hapa nimeshindwa mm hutaki kushaurika sifungui tena story na ananimention yaan siwezi mm kusoma story ndefu vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shunie ake umenikumbusha kuna mtu anaweka stori ndeeefu halafu kama ep10 hivi kwa siku,hadi kichwa kinauma
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Karim nimemkimbia mm nilikuwa na nipo2 tunamshauri weka episode 3 au 4 kwa siku hasikii anashusha tu nikamwambia mm acha nikuage napenda sana story ila kwa hapa nimeshindwa mm hutaki kushaurika sifungui tena story na ananimention yaan siwezi mm kusoma story ndefu vile
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mwenyewe nimeshindwa kwakweli,hata kama hataki watu wapate kiu na alosto si kwa style ile,kwa siku anaweza weka ep hata 10 halafu zilivyondefu sasa,ngachoka mie
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji1732][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sihitaji kuulizwa swali lolote na wapenda nao hawa woiiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mwenyewe nimeshindwa kwakweli,hata kama hataki watu wapate kiu na alosto si kwa style ile,kwa siku anaweza weka ep hata 10 halafu zilivyondefu sasa,ngachoka mie
Woooiiii carba akee sisi tulianzia kwenye story yake ya kifo cha harusi yangu jamani siku mbili tunamshauri hii story episode moja ni kama story 10 weka basi episode chache khaaa yaan ndio kama unamtuma anashusha 20 nilimuaga mm nikamwambia hunioni tena kwenye story zako halafu hizi story za shigongo narudia tu mm kusoma nimeshazisoma zamani kwenye gazeti la ijumaa na baadhi ya vitabu vyake yule kaka hapana jamani hashauriki woiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]napenda stori ila pale nimeshindwa.
Ila na yeye anakosea wasomaji wanakupa muongozo wewe unabisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom