Simulizi: Nilipanga nyumba moja na majini

Hii hadithi ilikua inatoka kwenye gazeti la ijumaa au kiu sikumbuki vizuri...

Ila ipo mtandaoni tangu 2012 ikiwa inapatikana kwenye website ya gazeti husika.

Leo imeletwa humu mwandishi kabadilika na watu wote wanaonesha hawaijui.
Jamaa umefanya plagiarism.
 
Kabisa mie mwenyewe nilishawahi kuisoma siku nyingi sana ila cha ajabu humu inaonekana mpya
 
Kama vile itaishia kwa wachungaji na walokole!?
 
Nakumbuka hii story nilisoma mwishoni huyo dalali kumbe ndio anamfanyia michezo yote ila jina la YESU likatenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…