bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,099
- Thread starter
- #21
MZIMU ULIOREJEA
Sehemu -27-
Ilipoishia...
"haaaa! haaaaaa! haaaaa."
likaachia cheko,meno yalooza yakaonekana
Mkononi alishika bisu
akawa anamsogelea yule dada!
"mamaaaa!"
dada yule akaachia kilio
"Grooooh!"
jitu likaachia mlio kama wa simba.
Endelea...
mikono ilikuwa imekishikilia kisu,na kukishusha katika shingo ya binti yule bila huruma, jitu lilidhamiria kuua.
mwili wa binti yule mery ulokuwa ukiangalia kwa jeuri na nyodo dakika kadhaa zilizopita! ulitapa tapa na kutulia tuli!
ukitoa macho ya mshangao.
jitu likaachia cheko lingine na kutoweka!
Naima mfanyakazi wa ndani katika nyumba aloishi Martin na mke wake,
baada ya kuambiwa na bosi wake mery atoke pale sebleni akiwa katika chumba chake,
kalala kitandani,
ghafla akashtuliwa na yowe!,
yowe kama la simba,
ndiyo!,
yowe la jitu.
wakati hakiwa katika mshangao ule ghafla akaskia yowe lingine,
yowe la maumivu!
hakutaka kusubiri tena akajinyanyua kitandani pale na kutoka mbiyo,
mara akateleza chini!
maumivu yaka ambaa katika mwili wake kwa wakati ule akuyasikia.
akajinyanyua na kuufata mlango!
akaufungua na kukutana na korido pana!, korido ilounganisha vyumba na sebule, akupunguza mwendo ila alikuja kupiga breki sebuleni pale!
macho yake yalishindwa kustahimili kuitazama sura ya dada yake!
ilotazama kwa uchungu mkubwa!,
yowe likamtoka Naima huku akiendelea kukitazama kisu kikiwa shingoni kwa bosi wake kimelitawanya koromeo.
nguvu zilimuisha nuru katika macho yake ikatoweka,giza likatawala!, akadondoka chini na fahamu zikamtoka!
*************************************
MARTIN alishuka kwenye gari yake, moyoni alikuwa na furaha sana!, alijua siku hiyo ndo mwisho wa maisha ya afisa upelelezi yule, mwenye kibri!, jeuri na anayejifanya anajua!
'tumepoteza wangapi bwana sembuse huyu mmoja?!' martin akaendelea kuwaza huku akiushika mlango na Kuufungua!....
ghafla mshtuko ukamvaa macho yakamtoka!, ni baada ya kuuona mwili wa mfanyakazi wake Naima!,
alipoufikia ule mwili akapatwa na mshtuko mwingine baada ya kuuona mwili wa mke wake!
tena ukiwa na kisu katika shingo yake, kisu kile kile,
kama wao walichokitumia,
ujasiri ukamuisha woga ukamtawala!, machozi yalimdondoka kama mvua!
huku akiwa kachanganyikiwa akatoa simu yake na kumpigia kamishna, na kumueleza kuwa nyumbani kwake kuna matatizo!
mkewe kachomwa kisu,
kamishna alichanganyikiwa!, japo akuambiwa kuwa mwanaye kafariki, lakini hakuwa na shaka juu ya hilo!, bila shaka kisasi sasa kilimgusa hadi yeye!,
akampigia simu MAIMUNA na kumuagiza awaite jb na Nurdini!
ni wazi habari ile ilimchanganya!
dakika kadhaa vijana wale walikuwa mbele yake!,
Kamishna akuongea kitu zaidi ya kulia,
Jb na Nurdin walibaki wakimtazama kwa mshangao
"mauaji yanaendelea! na roho inaniuma sana, badala nyinyi visobwengo mumtafute muuaji mnataka mpeleleze kesi za nyuma huku muuaji akiendelea kutamba mtahani!, sasa ameingilia mpaka familia yangu!, mwanangu MERY hayupo tena duniani"
kamishna aliongea kwa uchungu!,
vijana wale wakashtuka,
ila uso wa jb ukawa wa kawaida,
tena wenye dharau ndani yake!
"kafa katika mazingira gani mheshimiwa?"
Nurdin akaoji!
"vile vile kwa kuchomwa kwa kisu?!,"
"mwanao si ndo kaolewa na martin?!"
jb akaoji! kamishna akamkata jicho la ukali ila nurdin akatingisha kichwa kuafiki!
jb akaendelea "ndo mahana mimi nilipendekeza martin aojiwe na file lake lifunguliwe nikapuuzwa kumbe mlikuwa mnajuana? sasa yamegeuka na bado"
"unasema nin wewe?"
kamishna akaoji kwa ukali hakiwa tayari kumvaa tena jb!
jb akaachia cheko lake la dharau!
"umesahau nlchokufanya etiee nkwambie tu ukwel utajulikana.,"
"Ukweli gani?!"
"Utakapojulikana ndo utautambua"
"Acheni mabishano wakuu twendeni eneo la tukio
Dakika chache baadaye walikuwa eneo lile,wakiwa Mbele ya mwili wa mwanamke yule
Nurdin akiuangalia kwa huruma
" kweli kuna haja ya martin kulazimishwa kumtaja muhusika lazima atakuwa anamjua tu"
Nurdin alinong'ona,maskin laiti kama angejua MARTIN aelewi chochote
Ni kweli hakumtambua muuaji!
Ingawa alielewa ni lazima atakuwa kibaraka,au ndugu wa jb
Ni yupi sasa ambaye kaingilia mpaka familia yake?!
Alikosa jibu,jibu lilikuwa kwa naima aliyekuwa bado kapoteza fahamu
Ndiyo ambaye alitegemewa kuwafungua macho maaskari wale
Je nini kitaendelea
Naima atazinduka?!,
ITAENDELEA...