Simulizi: Mimi na Boss Wangu

Tunapitia mengi sana kwenye familia na hata maisha pia kama wanaume. Ninajifunza hakuna lisilokosa mwisho. Hakuna kukata tamaa, kujiamini na kumtegemea Mwenyezi Mungu ndio ngao kuu.
 
Wewe ni mwandishi mzuri saaaaana.Usikatae hilo.
 
Asante

Sent from my Pixel 3 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana mkuu
 
Sehemu kama hizi kuna maswahiba zangu wawili humu wanazipenda sana,yan stori ikiwa haina hiki kipengele hawasomi kbs😂,nasikitika sitaweza kuwataja hapa ila Antonnia na moneytalk mungu anawaona hakyanani
 
Sehemu kama hizi kuna maswahiba zangu wawili humu wanazipenda sana,yan stori ikiwa haina hiki kipengele hawasomi kbs😂,nasikitika sitaweza kuwataja hapa ila Antonnia na moneytalk mungu anawaona hakyanani
Hahahaaa!!! Nimefika ngoja nikitulia nisome vizuri!
Asante sana!
 
Sehemu kama hizi kuna maswahiba zangu wawili humu wanazipenda sana,yan stori ikiwa haina hiki kipengele hawasomi kbs[emoji23],nasikitika sitaweza kuwataja hapa ila Antonnia na moneytalk mungu anawaona hakyanani
[emoji23][emoji23][emoji23]manina kabisa,mbona umetaja sasa
 
Karibu best,nimeona haya mambo bila ww hayanogi,unatakiwa uwepo
Hahahaaa .. pamoja sanaa best! Sema nilikua nimetingwa kidogo ngoja niikalie kitrako kwanzaaa wabheja sana!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…