Nitaisoma halafu inaonekana una kipaji kizuri cha uandishi, Vipi una plan hata ya kuiendeleza hii fani? Maana Fani/Kipaji ndio kinacholipa kuliko hata ajira za kuajiliwaHadithi tu rafiki...
Usukumani hakuna hizo ishu za Kichawi kwanza wakikuhisi ni Mchawi lazima wapite na kichwa chako. Tuombe msamaha Just Nana 😅 😅 😅Nimewahi sikia story kuhusu uchawi na maeneo hayo, nikaona nikiiweka kwa story itanoga, ila naamini ushirikina upo kila sehemu my dear ingawa baadhi ya maeneo ni vinara kama usukumani, Tanga, kigoma na Sumbawanga...it's just a story ,enjoy...nothing personal
Nipo kulitafakari hilo bro...ngoja tuone mapokeo my dear...thanx ...am gratefully!Nitaisoma halafu inaonekana una kipaji kizuri cha uandishi, Vipi una plan hata ya kuiendeleza hii fani? Maana Fani/Kipaji ndio kinacholipa kuliko hata ajira za kuajiliwa
Napenda ur stories zinajenga, na kutufanya wapya kila siku ,Tunapopambana kuomba ndoa ,tusisahau kuombea na familia tunazoenda kuolewa....Be blessed...Mungu awatunze...
Yaani ukipasoma mwili wte unasisimka na HIV ukiwa na mtt unamwangalia mara mbili mm mpka nimemwambia mungu kikombe hike kiniepuke maana uchungu wak n mkal mnoAisee hapa nimepata uchungu