Tajiri mpole
JF-Expert Member
- Apr 15, 2018
- 3,127
- 6,097
Kabla ya kuonana na Belinda, prosper alikuwa ameshakaa miaka miwili gerezani, siku waliyoonana walizitumia dk 5 effectively......[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kabla sijaendelea nahuu utamu naoana mtoto anamiaka5 lakini baba yake yupo jela miaka 8.Kwahiyo mama alikuwa anapeleka utamu jela?au alimtiaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipo nipo Shuu...Cc the_legend Norshad bobefu zoefu Pablo PAKAYA Ibney blackstarline Bryece Tater, Bigjahman marybaby, ram, kisukari, Madame S, carbamazepine, Astelia, culture gal , Prisoner of hope, kuku mweus, moneytalk, Tumosa, Mine eyes, swahiba92, ludist, Toyota escudo, Clkey, macson3, Thad, boga la kiangazi, macson3, LEGE, Smart911, Richard @irakunda, skfull, Krizy Beat, hearly nipo2 MWINDAJI HARAMU kakhulu Katavi Norami mbududa iron2012 popie Bughy Harry Kinondoni Sweetheart SUPER EMILY
Unaweweseka tu..Belinda alikua mtoto wa kishua, na mtunzi anasema mshua wake alikua anampenda kinoma. Natamani sana kujua nini kilitokea mpaka ifkie hatua akose hata hela ya chakula xmass, achilia mbali kumnunulia mwanae nguo za sikukuu. Maybe mzee wake alimtenga baada ya Belinda kumpenda jamaa wa hali ya chini
the Legend☆
[emoji2][emoji2]nlishapata jibu kwa kusoma episodes za mbele
mbavu zangu....Utaanzaje kutomuamini.!?
Umeshakua kama usukani wa gari.. Kata kushoto unakata, kata kulia unakata.. Ukikataa, mafuta ya kulainisha yanawekwa, unarudi kwenye 'raiti traki'...
Kumbe na huyu yumo??Hahahahaa, mtu kukubishia wewe ajipange. Kalainika 'Bishop', sembuse mimi muumini wa kawaida
the Legend☆
Hahahahaa, tena kama ulikua hujui ni afadhali mimi
unacheka kuitwa kondoo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
the Legend☆
Mnapaka rangi upepo...Hahahahaa, tena kama ulikua hujui ni afadhali mimi
the Legend☆
[emoji2][emoji2][emoji2]
Hahaha, nshatimiza ahadiHahahahha tutaweza bwana amehaidi leo