Simulizi: Bodaboda wa Mke wangu

Pole sana kwakweli
Hakuna jambo baya na gumu sana kwetu wanaume kama mke kukusaliti. Ni jambo baya sana linahitaji subra na ujasiri sana kulichukulia kama wewe hivi kwani lolote lingeweza kutokea.
Iliwahi kutokea jamaa yangu akiwa safarini kikazi kama wewe hivi akapigiwa simu na Dada usiku na kuambiwa mama na anko wanagombana chumbani! Yule mwamba anasema alizima na hakuweza kuendelea na ile kazi tena
 
Yasikie yamemkuta jiranii, yakija kwako hautaamini🍾🍾🍻
 

Aiseee
 
Bado haijaisha hiyo....hujamshughulikia Prince (kwanza umempa jina zuri sana!!), halafu bado nusura udondokee kwa house girl.....bado hujajikamatia shemeji rafiki wa x mke wako, ..yani bado sana.

Endeleza hapo.
 
Mwanamke hakua mchepukaji ila ndo ameshaanza hawezi kuacha..

Ndivyo ilivyo, ubize na ukilaza wa mume umechangia, yaani unamuamini mtu kama malaika vile.
 
Imejini mkeo analiwa na boda walivyo wambea, kila mtu mtaani atajua daah...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…