Simulizi: Bodaboda wa Mke wangu

Simulizi: Bodaboda wa Mke wangu

Siku moja nilimwomba wife aniitie bodaboda mambo ikawa hivi "Dulla njoo nyumbani mpenzi"

Sikuamini masikio yangu, na yeye akabaki ameduwaa maana alijua kesha haribu.

Kilichoendelea baad ya hapo we acha tu

Aiseee
 
Kufupisha stori Prince alibahatika kumkaza mkeo!!
 
Write your reply...mtafute price..mpake mafuta mengi alafu mrosti
 
Siku moja nilimwomba wife aniitie bodaboda mambo ikawa hivi "Dulla njoo nyumbani mpenzi"

Sikuamini masikio yangu, na yeye akabaki ameduwaa maana alijua kesha haribu.

Kilichoendelea baad ya hapo we acha tu
Ningemulia hapo hapo kabla hajakata hyo simu😀
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom