the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,612
- 7,110
Hahahaa, ntafanya utaratibu my dear. Dawa inataka watu wasizidi watano, mi na wewe tayari wawili, bado watatu
the Legend☆
Karibu tena mkuu Tater. Bado naendelea kufanya mawasiliano na mtunzi wa hizi simulizi Deo Massawe, ili kufanya utaratibu wa kupata simulizi nyingine. Nkiipata ntaiwasilisha jamviniAhsante the_legend...
Watatu mimiHahahaa, ntafanya utaratibu my dear. Dawa inataka watu wasizidi watano, mi na wewe tayari wawili, bado watatu
the Legend☆
Karibu tena mkuu Tater. Bado naendelea kufanya mawasiliano na mtunzi wa hizi simulizi Deo Massawe, ili kufanya utaratibu wa kupata simulizi nyingine. Nkiipata ntaiwasilisha jamvini
the Legend☆
Watatu watapatikana tuHahahaa, ntafanya utaratibu my dear. Dawa inataka watu wasizidi watano, mi na wewe tayari wawili, bado watatu
the Legend☆
Hahhaha tumeshakua wa4
Hahahahaa, na inaonekana kakupania balaa. Hapo inabidi mi ndo niwe mtoto wenu, afu mda wa kulala nikatae kwenda kulala kwingineHahahaha tater we ulivyo bazazi hiyo kibaba si utanikula
Hahaha si unajua kibaba lazima mkulane kiuongo halafu we mtoto unalazwa katikatiHahahahaa, na inaonekana kakupania balaa. Hapo inabidi mi ndo niwe mtoto wenu, afu mda wa kulala nikatae kwenda kulala kwingine
the Legend☆
Hahahaa. najua mkuu. Ila nashangaa watoto wa sikuhizi hawana hizo mambo, sijawahi kuskia wanakulana hata za kinguo nguoHahaha si unajua kibaba lazima mkulane kiuongo halafu we mtoto unalazwa katikati
Watoto wa siku hizi busy na kucheza game tu mambo hayo wanayajulia wapi watuache wahenga sisi kibaba na kombolelaHahahaa. najua mkuu. Ila nashangaa watoto wa sikuhizi hawana hizo mambo, sijawahi kuskia wanakulana hata za kinguo nguo
the Legend☆
Hahahaha tater we ulivyo bazazi hiyo kibaba si utanikula
Hahahaa, Shunie sikupatii picha enzi zakoWatoto wa siku hizi busy na kucheza game tu mambo hayo wanayajulia wapi watuache wahenga sisi kibaba na kombolela