Simulizi: Baradhuli mwenye mikono ya chuma

sijakuona mda ww mtu kwenye foleni ya kusubilia [emoji23]
Mama wa Fursa, sauti yako siku hizi imekua ya kukwarua? Mbona Steve haitikii wito? Hebu kunywa maji mengi bhana, kama ni juice chukua naja kuilipia.
 
Mama wa Fursa, sauti yako siku hizi imekua ya kukwarua? Mbona Steve haitikii wito? Hebu kunywa maji mengi bhana, kama ni juice chukua naja kuilipia.
hahahaahh mzee wa fursa huyu steve sijui nan kamkamata
 
Hii siyo kawaida kabisa. Yaani pamoja na kumuita kote huko haji tu..... Mi nikajua sauti yako ndo ina walakini
hahahh sauti yangu ipo vile vile sijui kamkamata huyu mmasai
 
kwangu mzee wa fursa sehemu ya pm hamna kabisa [emoji23]
Hapo ndipo tunaposhindwanaga, sijui PM kwangu kuna moto? Njoo bhanah, wala sina mkono w mtoto. Nilikua nakuzinguaga tu
 
Hapo ndipo tunaposhindwanaga, sijui PM kwangu kuna moto? Njoo bhanah, wala sina mkono w mtoto. Nilikua nakuzinguaga tu
hahahh hamna ila kwangu hakuna option ya pm
 
kuhusu vifo...
hivi pius mbwambo kifo chake kilikuwaje..??..naomba mnikumbushe..... kama tupo makini..??
nakumbuka...mtemvu,raheem,filbert na katende walivyouwawa....
Kumbee na wewe umeliona mkuu, mie nilihisi kuna episode nimeruka!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…