Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
sijakuona mda ww mtu kwenye foleni ya kusubiliaSteve![]()

sijakuona mda ww mtu kwenye foleni ya kusubiliaSteve![]()

Mama wa Fursa, sauti yako siku hizi imekua ya kukwarua? Mbona Steve haitikii wito? Hebu kunywa maji mengi bhana, kama ni juice chukua naja kuilipia.sijakuona mda ww mtu kwenye foleni ya kusubilia![]()
nimemsamehe steve
pole sanaMnisameheni bure mwenzenu.
☆Steve
hahahaahh mzee wa fursa huyu steve sijui nan kamkamataMama wa Fursa, sauti yako siku hizi imekua ya kukwarua? Mbona Steve haitikii wito? Hebu kunywa maji mengi bhana, kama ni juice chukua naja kuilipia.
Hii siyo kawaida kabisa. Yaani pamoja na kumuita kote huko haji tu..... Mi nikajua sauti yako ndo ina walakinihahahaahh mzee wa fursa huyu steve sijui nan kamkamata
hahahh sauti yangu ipo vile vile sijui kamkamata huyu mmasaiHii siyo kawaida kabisa. Yaani pamoja na kumuita kote huko haji tu..... Mi nikajua sauti yako ndo ina walakini
Njoo PM nikufundishe Kimasai kisha uje umbembeleze, huenda akakuelewa ...... Serioushahahh sauti yangu ipo vile vile sijui kamkamata huyu mmasai
kwangu mzee wa fursa sehemu ya pm hamna kabisaNjoo PM nikufundishe Kimasai kisha uje umbembeleze, huenda akakuelewa ...... Serious

Hapo ndipo tunaposhindwanaga, sijui PM kwangu kuna moto? Njoo bhanah, wala sina mkono w mtoto. Nilikua nakuzinguaga tukwangu mzee wa fursa sehemu ya pm hamna kabisa![]()
hahahh hamna ila kwangu hakuna option ya pmHapo ndipo tunaposhindwanaga, sijui PM kwangu kuna moto? Njoo bhanah, wala sina mkono w mtoto. Nilikua nakuzinguaga tu
tumia app ya jf utaiona option ya pnhahahh hamna ila kwangu hakuna option ya pm
namzingua huyo massawetumia app ya jf utaiona option ya pn
Khaaaa hua napita kucheki foleni yangu. Niliacha jiwe aseeesijakuona mda ww mtu kwenye foleni ya kusubilia![]()
Kumbee na wewe umeliona mkuu, mie nilihisi kuna episode nimeruka!kuhusu vifo...
hivi pius mbwambo kifo chake kilikuwaje..??..naomba mnikumbushe..... kama tupo makini..??
nakumbuka...mtemvu,raheem,filbert na katende walivyouwawa....
Hicho kifo kimeelezewa kwa sentensi mbili tu simulizini. Soma katikati ya mistari.Kumbee na wewe umeliona mkuu, mie nilihisi kuna episode nimeruka!
Nimetuma jana tu.Dah hata huku nikimya....hata kule lege katutupa
na leo steve weka mchana week end ndefu hiiNimetuma jana tu.
☆Steve
Mwambie labda atakusikia mwenzanguna leo steve weka mchana week end ndefu hii