Sorry mkubwa, wewe ndio unaacount ya Instagram yenye jina kama lako?steve vp mzee muda ndio huu au leo zamu yako ya sungusungu
Hulaliii[emoji15] [emoji15] [emoji15]na yy mpangaji mwenzetu [emoji23]
Khaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] kaamua kuchukua chumba bila dalalii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]na yy mpangaji mwenzetu [emoji23]
Steve mbona tupo, kitupie nilale aseeHaya chap chap njoeni.
☆Steve
Oyaa nalala sasa ni saa saba kasoro,Santee steve usiku mwema tutaonana kesho
sema nipo chumba cha uwani...[emoji1] [emoji1]na yy mpangaji mwenzetu [emoji23]
nipo chumba cha uwani.....Wee nae hupitwi[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nipo chumba cha uwani.....
[emoji23][emoji23][emoji23]sema nipo chumba cha uwani...[emoji1] [emoji1]
wenzangu mpo nyumba kubwa....[emoji38] [emoji38] ...
hahahhhhKhaaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15] kaamua kuchukua chumba bila dalalii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
si ameweka jana usikuNikizubaaa tuu ntaugua kwa stress hizi
Hivi steve unajifikiria nini
hamna alosto humu kila siku sa 3 usiku inawekwaAlosto hii story napata kigugumiz kuianza
Ntakupigia badae unisimulie aiseehamna alosto humu kila siku sa 3 usiku inawekwa
kwa no gan [emoji15] ww soma toka mwanzoNtakupigia badae unisimulie aisee