Ekyoma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,177
- 2,805
Sasa mpaka useme live watu wajue sina no yako jamankwa no gan [emoji15] ww soma toka mwanzo
Sasa mpaka useme live watu wajue sina no yako jamankwa no gan [emoji15] ww soma toka mwanzo
Sa Kama huna namba yake, si umuombe!Sasa mpaka useme live watu wajue sina no yako jaman
nisamehe tu [emoji23]Sasa mpaka useme live watu wajue sina no yako jaman
huyo msumbufuSa Kama huna namba yake, si umuombe!
Msamehehuyo msumbufu
id picha hiyo imemchanganya....[emoji6] [emoji6] ...!!!..kwa no gan [emoji15] ww soma toka mwanzo
Sanaid picha hiyo imemchanganya....[emoji6] [emoji6] ...!!!..
Ekyoma mlokole [emoji23]id picha hiyo imemchanganya....[emoji6] [emoji6] ...!!!..
unakatazwa...[emoji45] [emoji45] ...??Ekyoma mlokole [emoji23]
Mbona sijaiona[emoji17] [emoji17]si ameweka jana usiku
Ohoooo unaweka kambi, mkuu wa kikosi kasha sepa[emoji17] [emoji17] [emoji17]Nimeweka kambi rasmi hapa,sibanduki mpaka kieleweke
Nimependa sana hii Counter attack ya Mbowe. Yani Makonda na Sirro saivi wao ndo watuhumiwa. Wao ndo wanatafutwa na Mahakama. Saivi wao ndo wanajificha ili wasikutane na "samansi" ya Mahakama. Duuh kweli sometimes ukisikia nyuma geuka, wa kwanza anakua wa mwisho. Leo Makonda hajatokea mahakamani na polisi aliyempelekea "samansi" kasema hakumkuta. Hivi Makonda leo ni wa kujificha? Wa kukimbia Polisi? Hii inaitwa DOGO UKOME. Hongera Mahakama Kuu, ila chondechonde Jaji aliyesikiliza hii kesi asije kupangiwa kazi nyingine. Hongera kamanda wa anga Mbowe. Hizo ni salamu kwa dogo na baba yake. Watakuelewa tu.!
Huu mchezo wa 'hide and seek' unafurahisha sana.
unakatazwa...[emoji45] [emoji45] ...??
MmhMbona sijaiona[emoji17] [emoji17]
kuna mpya ibra kaweka kaitafute [emoji23]Nimegundua njia ya kufaidi hizi stori
Ni kuondoa kiherehere ch kuisoma kabla haijafika mwisho,
Ngoja nikatafute kwingineee
hahahhh aje kujifunza nn ila steve mida yake inajulikana n sa 3 usikuOhoooo unaweka kambi, mkuu wa kikosi kasha sepa[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Humu nishagundua ntavuna pressure, hafu vitu vyenyewe ni stori cha kushangaza roho inauma kam vilr ni kweli.
Naomba kama mh. Paul Makonda yumo humu JF aje ajifunze kwa wenzie hapa,[emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hafu mi ni kama sina akili, hata kama ninazo baaaaaaasi ndo nishakua tejaa
Naapa kutorudi, cha kushangaza sasa naranda randa humu humu[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Nikitaka kutoka, nahisi na napenda niwe wa kwanza kuina hafu narudi,
Hili ni tatizo aseeee
[HASHTAG]#shunie[/HASHTAG]
Mkuu wa kikosi atakuja saa tatu ila wengine lazima kuchungulia kila mudaOhoooo unaweka kambi, mkuu wa kikosi kasha sepa[emoji17] [emoji17] [emoji17]
Humu nishagundua ntavuna pressure, hafu vitu vyenyewe ni stori cha kushangaza roho inauma kam vilr ni kweli.
Naomba kama mh. Paul Makonda yumo humu JF aje ajifunze kwa wenzie hapa,[emoji23] [emoji115] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]