HansMapunda
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 456
- 260
- Thread starter
-
- #121
Hongera sana ila lugha uliyotumia kuelezea video yako imekufanya ikutoe katika reli, ungetumia native language ungetoka bomba sana, okey! hiyo meza na vikorokoro vyake vyote unauzaje?
Hongera sana ila lugha uliyotumia kuelezea video yako imekufanya ikutoe katika reli, ungetumia native language ungetoka bomba sana, okey! hiyo meza na vikorokoro vyake vyote unauzaje?
Hongera kwa ubunifu kaka
mwenye flight simulator wakuu. Mimi nipo dar
volvo mwisho ni 750hp, scania ni 730hpUkienda kwenye settings then gameplay kama skosei kuna sehem ya ku uncheck automatic speed limit something like that.. Hii huwa inalimit gari automatic kwenye speed limit ya eneo husika.. Yaani kama limit ni 30mph gari automatic linarudi kwenye speed hiyo hata ukanyage vipi sanasana itaongezeka kidogo sana na gari inakuwa nzito.. Ukitoa hiyo gari inakuwa free kutembea speed kulingana na uwezo wa gari lenyewe.. Ila nakushauri pia tumia gari zenye horse power kubwa kama volvo..kuna volvo moja ukiupgrade inaenda mpka hp 700 nadhani.. So linakuwa na nguvu balaa na kwenye tambarare ni control yako tu..
Naipataje hiyo flight simulatorFlight simulator (10GB) mimi ninayo isipokuwa ni ya zamani (Microsoft Flight simulator X), nakushauri vuta subira kido kuna simulator mpya inakaribia kutolewa na kampuni ya Dovetail games.
Flight simulator (10GB) mimi ninayo isipokuwa ni ya zamani (Microsoft Flight simulator X), nakushauri vuta subira kido kuna simulator mpya inakaribia kutolewa na kampuni ya Dovetail games.
Naipataje hiyo flight simulator
Hyo microsoft flight simulator naweza kucheza ktk macbook pro? Naomba ulipata hilo gemu nijulishe tufanye biashara
ok, Naomba nitajie hizo specification za hiyo compyuta. Kuhusu kukuuzia hapana nitakupa bure tu mkuu me ninaishi Iringa, mafinga.
Specification: processor 2.5 intel core i5, memory 4GB 1600Mhz DDR3, graphics Intel HD Graphics 4000 1024MB.
Hizo Mkuu. Ntashukuru kama nitaipata hyo kitu
Mkuu samahani unaweza kunipatia link ya kuipata hiyo game..natanguliza shukraniNjia pekee ya kuipata ni kudownload tu mkuu kutoka kwenye internet.
mkuu ntapataje hii latest version ya ETS2me natumia v1.25.2.5 ambayo ni latest. Mod nyingi zinagoma kwasababu hiyo V1.5.2.1 ni ya zamani. Nakushauri tafuta latest version. Steering iko safi tu sema inategememea unatumia gamepad,mouse,joystick au wheel.
Kama una bando kwenye torrents ipo.. Nenda the pirate bay utaipata..mkuu ntapataje hii latest version ya ETS2
Ok,sawa game itakubalikucheza sema settings za graphics zitakuwa Low-Medium na advantage itakuwa ni hiyo processor kwasababu FSX inatumia zaidi processor kuliko graphics card. Ok sasa unataka nikutumie kwa njia gani kutoka huku?
mkuu ntapataje hii latest version ya ETS2
NimekuPM Mkuu
Unanunua kwenye steam mkuu ni $20 tu( roughly kama 42000 hivi). link hii hapa
Unanunua kwenye steam mkuu ni $20 tu( roughly kama 42000 hivi). link hii hapa