OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,574
mzee ushauri umesimama kinoma yani,ushawahi kuishi na mawifi nini?
Ha ha aaaahaaa ukikua utajua mpaka siku za mkeo ilhali huna ovary wala uterus!!!!!!
mzee ushauri umesimama kinoma yani,ushawahi kuishi na mawifi nini?
Iwe with much attention
Gas mask and BPV on??!!!
Nadhani atakua na miaka 20 na kitu hivi. Ni mwalimu wa shule ya msingi hajaolewa bado
Kuwa mpole na mvumilivu,inawezekana anakujaribu kuona kiwango cha uvumilivu wako.Usimpe sababu.Vumilia
Niku-PM nini baba?
Ebu kesho liamshe lipge deki ndani,alafu akimaliza anywe chai, baadaye mpe surufia ya pilau au wali apike,asilete uhayawani kwenye hamna,kama hatak aende kwake au kwao! Usipende stres kwenye maisha mpendwa,hilo ni livivu
Hivi wanawake wa kuoa ndio hawa au?
hahahaha ndio sie paroko
jichagulie kwa makini tu
Kama unakijua ulichokisema nitajie mmoja na unithibitishie kuwa anafaa kuolewa!
dina huyu wifi inaonesha kakaa kishari tu! ni vile hatujui!Weeeeeeee wifi kama hana manenoo unamuachaa kwan kuna tatizo gani kumpikiaa kila siku kumbuka wifi ni kama mume wako
Mi kwa hilo sina shida maana hajaja kunifanyia kaziii kaja kusalimiaaa
ila kama amekuja kishariii ni kumpelekeshaa mpaka atakomaa akiondoka tu kaka yakee vitimbi hivyo hatasahauuuu
hivyo vigezo vyako vinavyokuhuzunisha na kuona sitaviwezi my dear............
duh so bad ndo naiona sasa hii comment yako,sijaenda kiwanjani mwaya there was nothing special and serious!!Miss you too.
Unaenda uwanjani kucheki mpira?
Mi nildhani ni mkubwa kuliko wewe hivyo unaogopa kumuambia! Huyo binti ndio anakupa mawazo? Yaani siku ya tatu? Wewe inaonekana hupendi ndugu wa mume waje hapo ndio maana unashindwa hata kukaa naye jioni mkawa na stories
usiende mbali paroko mimi mmojawapo
unataka uthibitisho gani
hahahahahahUnajua maana ya uthibitisho?