Mtasema mengi lakn kwa nyie mnaokwenda majumbani mwa watu pia mwache uvivu kama umeweza ushirikiano wa kula na kujipara onesha pia na wakufanya kazi.
Wanawake wa namna hii ndio kutwa kuchwa kushinda katika saluni na kupaka rangi kucha. Wewe unapungukiwa nini ukifanya kazi zako za nyumbani mwenyewe.? Hiyo nyumba ni yako wewe, mtu kaja kukutembelea unataka akusaidie kazi za hapo nyumbani kivipi.? Inatakiwa uweke hiyo option ya kukusaidia as a standby plan na siyo lazima.
Hizi ni dalili za mwanamke mvivu, mwenye gubu na mchoyo. Somo la ukarimu kwa wageni inaonekana limekupitia mbali sana.
Japo halazmishwi mtu lakn ni vema ukasaidia kazi km umekwenda kutembelea ndugu yako usiwe mtu wa kula na kulala wewe pia utakuwa mvivu
Akiambiwa anadokoa nyama jikoni bora alale tu
Hata nisipotaka zinakuja tu so go drown yourself in a tub 🙂.
lol kumbe napoteza nguvu na muda wangu tu!!! Ngoja nihamishe majeshi.Hapo umekosea njia. Mi na Mndengereko nothing can come between us.
Hahahha no amigo may b nuclear detectors and strong firewalls like ISA
hivi inakuaje rasilimali zote unataka ziwe zako
Acha ujinga wako sasa unataka apike na wewe ufanye nini?pia hujui maana ya mgeni yaani hata wiki hajamaliza unamwandika huku kwanini humkaribishi kwa ukarimu na upendo akusaidie wewe ndio tatizoWifi yangu amekuja juzi. Ni dada wa mume wangu. Alipofika sikuwepo nilikua kazini. Nilipofika toka kazini nikamkuta amelala. Nikamsubiri alipoamka akaja tukatambulishana tukaendelea na maongezi.
Jana siku ya pili kaamka kaoga kawasha tv, akitoka anaenda kulala. Anaamka anakula anarudi kulala. Leo siku ya tatu ameamka mapema tu ameoga karudi tena kulala. Mwenzenu Simuelewi huyu mwanamke mwenzangu hata mlango wa jikoni haujui. Nimekua kama nina waume wawili. Kuolewa kuna shida wenzangu.
Hapo umekosea njia. Mi na Mndengereko nothing can come between us.
hata mbuyu ulianza kama mchicha lol
.... Na pia sio michicha yote inayoweza kufikia ukubwa wa mbuyu mingine hufia njiani!
my enemy..
Teh teh eh
lol kumbe napoteza nguvu na muda wangu tu!!! Ngoja nihamishe majeshi.
alafu wewe!! Mbona unamchokoza sana miss neddy
Nadhani atakua na miaka 20 na kitu hivi. Ni mwalimu wa shule ya msingi hajaolewa bado
kama mimi!!
hahahahahaha umeona eeeeh