Simuelewi wifi yangu

Simuelewi wifi yangu

mmmmh!!! una uhakika ni dada wa mumeo kweli??? usikute ni mke mwenzako na anakimimba tayari ....akili kumkichwa
 
Huyo ni mtu mstaarabu sana sababu hapo ni kwako sasa akikurupuka mpaka jikoni wakati hajakaribishwa ungesema anakuingilia!!!!!!!
Either ways wewe siku ya tatu tu ushaanza mpaka ku post huku, je angekuja mgonjwa kukaa hapo mwezi mzima!!!????
Kwanza wewe mtu wa kazini so hushindi hapo kazi anafanya dada labda sasa wewe nini taabu yako!!!!???
Leo wkend kesho sikukuu muamshe mwambie mwende sokoni mkanunue vya kununua na mkija fikia naye jikoni mpe nyanya muombe akusaidie wakati wewe unafanya mengine then anzisha story kuwa uko happy kwa ujio wake sababu sikukuu mtapika vyakula mbalimbali kwa kushirikiana, mtamaliza mapema na ku enjoy.................


Sikuhukumu ila ni kama hupendi ndugu wa mume au una ghubu flani kama sio mvivu..........ungekuwa mke wangu ningekuchana live!!!!!

Mkuu umetisherrrrrrrrr umetufunza wengi mno ubarikiwe kabisa
 
sijamwamuacha yye anafahamu kuwa nilikuwenda shamba kuotea mpunga si unajua mvua zimeharibu
mazao hivyo hatuna hata ekari lililosalia vyote vimekumbwa na mafuriko sijui tufanyeje?
hahahahahaha umemuacha mpweke analalamika
 
Back
Top Bottom