Simuelewi mpenzi wangu huyu

Simuelewi mpenzi wangu huyu

Muoe na atabadilika tuu atakutaja wewe. Wewe kwani umegegeda wangapi na unajua huko walipo wanakutaja nawe? kitu kizuri ni cha wote na kaburi,jeneza,sumu ndio chako peke yako. Muoe dada umtulize... ny..g... inaelekea huwa anazo nyingi sana sasa hakikisha 1dy unamfungia kazi ni kusugua hiyo papuchi tuu mpk abadilishe kauli ila ndio ukibaki kuitouchtouch alafu Muddy anaisugua mpk ikatakata wadhani ataitwa nani???
 
Huo ni uwamuzi sahihi..
Hiko kitendo kinadhibitisha ni Chakavu kiasi gani
Next tym b4 hujakurupuka kupeleka maharii jihakikishie ni Chakavu grade ganii..
polee boss..
 
mahaba nipoteze nizuge kama RICHMOND,usinitie kisirani kama ESCROW nkatibiwe zangu tezi dume nkirudi npewe changu
 
watafute watu wote wanaoitwa muddy uwachukue maelezo kwanza
 
Kwani huyo mpenzi wako umetoa seal wewe?

Kama hujaitoa wewe ujue kuna njemba kibao huwa anazisifia kimoyo moyo...

Na hata ukimtosa si ajabu atakua anakutaja wewe kwa anayefuata...teh teh teh!!!

Mkuu unampa moyo tu.....! Asimtaje wakati huu wako pamoja amtaje baada ya kutoswa?!
 
Endeleeni kulea ujinga!!!Hamjui wanawake wengi wanaachwa kwa kisingizio kuwa kamtaja mtu.Nimeshuhudia kama kuvunjika kwa ndoa kwa kisingizio cha kumtaja mtu.Wapenzi wanatoswa karibu na siku ya harusi kwa.kisingizio hicho.Kumbe mtu kapata mwingine anamkoleza.Fanyeni uchunguzi msikurupuke.
 
mbona wengine wanataja yesu.Na yeye anataja mtume wake mudy.usimuache mkuu ni mizuka tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom