Simuelewi mpenzi wangu huyu

Simuelewi mpenzi wangu huyu

Mkuu bombom kama hiki unachosema ni kweli na umefuatilia ukagundua huyo Muddy ni real, basi usiendelee mbele na ndoa. Hili litakutesa maisha yako yote na utakuja kujuta milele kwani hiyo ni dalili tosha huyu na muddy bado dam dam na amekuja kwako tu baada ya kumkosa Muddy. Nikupe mfano, miaka ya nyuma, nilikuwa na demu, siku moja baada ya kumaliza majambo akatamka "Sasa God mimi wacha niende maana muda emeenda sana". Nikamuuliza "Nani God hapa". Akayeyusha na mimi nikakausha. Siku nyingine tena akajichanganya anakatamka the same. Nikamchenjia hadi akanambia huyo God ni nani, kumbe ni mshikaji na rafiki yangu tu. Nikamwambia poa. Mimi sikuwa muoaji lakini nikaendelea kujipigia mzigo kumbe na God nae anaendelea kujichapia mzigo japo yeye alidai ameachana nae. Nilipojiridhisha God bado anapiga mzigo mimi nikaachia ngazi.

So, ACHANA NAE hakufai huyo mkuu.
Nashukuru kwa ushauri Mkuu
 
Suala dogo tu, badilisha jina jiite muddy atakapokua anataja tena hilo jina atakua anakutaja wewe

HAPO NIMEKUTANIA TU WALA USIKWAZIKE: Ukweli ni kwamba ikitokea ukawa na ukaribu wa mahusiano kwa muda mrefu au kumpenda mtu na baadae mkaja kuachana, inachukua muda kumsahau, kusahau jina lake, vitendo vyake au namna alivyo.

Kwa suala lako kuna mawili, pengine huyo bibie bado yuko kwenye mahusiano na huyo muddy na hivyo kwa sababu muddy ndio yuko kichwani zaidi ndio maana hayo yanatokea

Au alikua na mahusiano na muddy, tayari hayapo tena kwa sasa lakini kwa sababu ya mazoea, alivyokua anampenda na ukaribu ndio yanatokea hayo. Lakini kwa upande huu kama ni kweli hayuko naye baada ya muda atasahau na kumbukumbu zote zitahamia kwako

Cha msingi kaa chini ongea nae kiundani kujua muddy yuko nae vipi so far

Naitwa Bonny Mokiwa (Bombom). Nina mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye nategemea kufunga ndoa naye hivi karibuni. Utata uliojitokeza na kupelekea kutengua uamuzi wangu wa kufunga ndoa ni kwamba, kwa mara tatu katika nyakati tofauti, tulipokuwa kwenye sita kwa sita (ingawaje hairuhusiwi kwa wachumba) akizidiwa kumahaba anaweweseka na kumtaja mtu mwingine anayeitwa Muddy badala ya kunisifu mimi. Suala hili lilileta mtafaruku hadi likasuluhishwa na mshenga. Tatizo ni kwamba amerudia tena kutaja hilo jina. Nimeamua kumtosa, ingawa harusi imepangwa mwezi ujao. Sijui kama nimefanya uamuzi mbaya.
 
ha ha ha muddy am coming ,nishike kiuno.. tatizo lako na wewe unatia style ya muddy badilisha mikato hiyo
 
Suala dogo tu, badilisha jina jiite muddy atakapokua anataja tena hilo jina atakua anakutaja wewe

HAPO NIMEKUTANIA TU WALA USIKWAZIKE: Ukweli ni kwamba ikitokea ukawa na ukaribu wa mahusiano kwa muda mrefu au kumpenda mtu na baadae mkaja kuachana, inachukua muda kumsahau, kusahau jina lake, vitendo vyake au namna alivyo.

Kwa suala lako kuna mawili, pengine huyo bibie bado yuko kwenye mahusiano na huyo muddy na hivyo kwa sababu muddy ndio yuko kichwani zaidi ndio maana hayo yanatokea

Au alikua na mahusiano na muddy, tayari hayapo tena kwa sasa lakini kwa sababu ya mazoea, alivyokua anampenda na ukaribu ndio yanatokea hayo. Lakini kwa upande huu kama ni kweli hayuko naye baada ya muda atasahau na kumbukumbu zote zitahamia kwako

Cha msingi kaa chini ongea nae kiundani kujua muddy yuko nae vipi so far
Sawa Mkuu , lakini kuna kale kawivu ka asili. Inakuwa vizuri kama kuna mwizi ambaye hafahamiki naweza kuvumilia, lakini mwizi mwenyewe anajulikana hata kwa jina, tena kwa kutamkwa na mke mtarajiwa? haingii akilini kuendelea kuwa naye.
 
ha ha ha muddy am coming ,nishike kiuno.. tatizo lako na wewe unatia style ya muddy badilisha mikato hiyo[/QUOTE miss chagga, I swear ungekuwa wewe ungezimia. Imagine una baba watoto wako mnagegedana halafu akatamka... oohhh Happy .... oooh Happy.... you gonna kill me... thats why I love you honey... Utaweza kuvumilia?
 
Last edited by a moderator:

ningemtoa amfuate happy
 
Ni vizuri kumuacha maana inaonekana kunguru hanenepi kwa jalala moja, Tafuta mwingine, yaani jasho utoke wewe halafu mfutwaji ni mwingine? hapana.
 
Naitwa Bonny Mokiwa (Bombom). Nina mpenzi wangu wa muda mrefu ambaye nategemea kufunga ndoa naye hivi karibuni. Utata uliojitokeza na kupelekea kutengua uamuzi wangu wa kufunga ndoa ni kwamba, kwa mara tatu katika nyakati tofauti, tulipokuwa kwenye sita kwa sita (ingawaje hairuhusiwi kwa wachumba) akizidiwa kumahaba anaweweseka na kumtaja mtu mwingine anayeitwa Muddy badala ya kunisifu mimi. Suala hili lilileta mtafaruku hadi likasuluhishwa na mshenga. Tatizo ni kwamba amerudia tena kutaja hilo jina. Nimeamua kumtosa, ingawa harusi imepangwa mwezi ujao. Sijui kama nimefanya uamuzi mbaya.

inabidi ubadilishe jina uitwe muddy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom