bombom
JF-Expert Member
- Feb 6, 2013
- 614
- 228
- Thread starter
- #21
Hili halina uvumilivu Honey FaithHaumfanyi ipasavyo mtoto wa watu ndio maana hata hakusifii na hapo umefanya kosa kubwa sana ulitakiwa uongeze juhudi ili siku moja akusifie na kwa mtindo huo utawaacha wengi
Last edited by a moderator: