Simuelewi mpenzi wangu huyu

Simuelewi mpenzi wangu huyu

mkuu apo muddy ameacha password a.k.a. nywila. sasa hapo huwezi kabisa labda mtafute muddy kama amemchoka ndo akupe password lakini vinginevyo muachie muddy kazi yake!
 
Mwenye mke ni mimi, Muddy ni mwizi Mkuu.
we ndio mwizi umemuibia muddy mke ,huyo mchumba wako yuko kwako kimaslahi tu au tuseme kimwili ila kiroho yupo kwa muddy so we ndio mwizi mwachie mwenye mke wake ajinafasi
 
Huo ni uwamuzi sahihi..
Hiko kitendo kinadhibitisha ni Chakavu kiasi gani
Next tym b4 hujakurupuka kupeleka maharii jihakikishie ni Chakavu grade ganii..
polee boss..
Asante Mkuu comrade
 
Last edited by a moderator:
afazali yako bado una matumaini kuwa wewe ndie mume huku wanakaza wengine, we utunze wengine watumie huhuhuhuuuuuuuuuu[/QUOTE Sweet16 me nime give up..... wacha huyo Mudy abebe moja kwa moja.
 
Last edited by a moderator:
Lol ndo maana unashauriwa kuwaita wote mpenzi, honey, babe etc mambo ya majina oooh muddy achana nayo ili hata ukiteleza babe ni babe tu haijalishi ni yupi muddy au juma lol
 
Badili dini, uitwe Mohammed... Kifupi Mudy... Hutapata hasira akikuita tena
 
Mtoa maada umenivunja mbavu kwelkwel! Ilishawahi kunitokea hii kwa binti wa kindali 2009! Ila mim nilikuwa natoa ugwadu tu!
 
huyo Muddy namfahamu naishi nae mtaa mmoja anajua kuwakaza na Jana nilimwona huyo demu wake getoni kwake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom