Kwel mkuu naogopa sana mke wa mtu
Atakuletea vituko vya hatari kwa nia ya kukukomoa,Nataka nimtumie nauli mchumba ang aje hata kwa wiki moja nimkate upepo huyu mwanamke
Akiliwa kiboga aje kutuomba ushauri wa nini sasa?au wa kupata pampasi za wakubwa?We endelea kuchati na mumwe wake... Siku ukiliwa kiboga uje utuombe ushauri.
Yetu machoAkiliwa kiboga aje kutuomba ushauri wa nini sasa?au wa kupata pampasi za wakubwa?
Fanya hivyo mapema otherwise anus yako ita experience jambo jipyaNataka nimtumie nauli mchumba ang aje hata kwa wiki moja nimkate upepo huyu mwanamke