Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,761
- 3,510
- Thread starter
- #41
Labda itakuwa hivyo mkuu lakini hata mimi ni mtafutaji tu sio mambo safiYani unatoa Elfu 30 kisa usafii tuu!???? Wee jamaa Una utaniii pesa yotee hiyoo huyo mwanamke kajua kuwa wewe pesa sio shida alafu mumewe itakuwa njaa kalii.... wanawakee sio poaa anaweza amiaa kwako kabisaa dadekiii anadai talaka anaolewa na weweee...mbele ya pesaa hawa Viumbe sio kabisaa