Simuelewi huyu kaka

pole kwa kula gengeni........teh teh isujekuwa wewe ni vodaFaster

Mhh tena Restaurant ndio hata huitaji kuuliza Jina sababu jina lipo kwenye TAG alafu ukiwa mteja wa kila siku yaani ukifika tu unakaribishwa kwa ukarimu... Sasa kama hii ya mwenzetu miezi sita bado mtu hajui kina lako Kweli hapo kuna matatizo makubwa saaana yaani ingebidi ampige chini siku ya pili tu
 
mnh kweli mwenzetu za kuambiwa,huchanganyi na zako! mbona mambo yako waaazi....he is not into you....:A S 13:
 
interesting http://2.s07.jamiiforums.com/count/DymW/bg=ffffff/txt=ffffff/border=ffffff/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=0/
http://s07.jamiiforums.com/count/DymW/bg=ffffff/txt=ffffff/border=ffffff/columns=1/maxflags=1/viewers=3/labels=0/

unajifunza kuposti nini?lol
 
kakusave 'heineken'? Loh inaleta hasira sana! Huyo gumegume, wachana nae!
 
It does not need a Phd holder to discover the best solution...quit! The earlier the better
 
kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. Ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. Nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

dada huyo hajakupenda bali amependezwa nawe.
 
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

Duuuu hebu achana na hiyo crap!!!
Halafu huyo mzuri manake amekuja kama alivyo.
Wengine wanakuja na ngozi ya mtoto wa kondoo kumbe mbwa mwitu dume!! Stuka dada angu!!

Mume mwema yupo tuuuuuuu, wakati ukifika kila kitu kinakaa sawa!! God loves you!!!
 
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

Hii ya kutaka kuonana nawe wakati wa giza tu haijakaa sawa hata kidogo.

Say It Right - Nelly Furtado | Music Video | VEVO

Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

Nutin' 4 gud.... unasubiri dalili gani nyingine kubwa zaidi ya hizo ulizoziona ili ujue hapo hakuna dili????? Mpaka uchakachuliwe???!!! Wake up dada!!!!!... kula kona haraka!!!!...
 
kakusave 'heineken'? Loh inaleta hasira sana! Huyo gumegume, wachana nae!

Yawezekana Nothing4good anakunywa Heineken au unavaaga Mabango ya Bia husika!!! Lol!... Maana wanaume wa style ya Sharobaro hawapendi wanawake wanaokunywa Savannah,Amarula etc
 
Kuna mkaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.nikimuuliza anasema mpaka 2do kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenz au mke wangu na marakwa mara huwa mimi ndio nampigiaga sm nikikaa kimya inaweza ikapita wiki3 bila mawasiliano. ikitokea 2kionana ndo hujifanya ananipend nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia sim yake can sevu nani nilikuta kaandika heineken afta all nikimwambia 2onane anataka 2onane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha?anakataa. nisaidieni nimwache mimi? Nimiezi 6 sasa lakini haeleweki

Yeye ndo hakuelewi wewe, sababu umemng'ang'ania kaka wa watu ndo mana anakususa hata wiki nzima bila mawasiliano,akikutafuna ndo kabisa kula kona huna chako hapo.
yeye mwenyewe anakushangaa alikuwa anakujaribu tu we unamkomalia dizaini. Mbona haiitaji kwenda shule wala ushauri hiyooo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom