Simuelewi huyu kaka

Simuelewi huyu kaka

Kuna kaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.

Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara kwa mara huwa mimi ndio nampigiaga simu nikikaa kimya inaweza ikapita wiki tatu bila mawasiliano.

Ikitokea tukionana ndo hujifanya ananipenda nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia simu yake amenisave nani, nilikuta kaandika heineken.

After all nikimwambia tuonane anataka tuonane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha? anakataa, nisaidieni nimwache mimi? Ni miezi 6 sasa lakini haeleweki.
kama kusoma hujui na pcha huwezi kuiona...tembea mbele umeingia njia ya mateja ...unapoteza mda wako au unaitwa heineken?
 
Uja Kagua Sm Yake Vzr Kuna Mwengne Kamsevu sweet16. ushaur wangu muache kabla ajakuacha soon
 
Ina maana lile Bando langu la kutafuta mchumba hujaliona kule , hebu njoo PM tuyajenge
 
Kuna kaka alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.

Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara kwa mara huwa mimi ndio nampigiaga simu nikikaa kimya inaweza ikapita wiki tatu bila mawasiliano.

Ikitokea tukionana ndo hujifanya ananipenda nakutaka anichumu sasa kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia simu yake amenisave nani, nilikuta kaandika heineken.

After all nikimwambia tuonane anataka tuonane wakati wagiza nikimuuliza kaniacha? anakataa, nisaidieni nimwache mimi? Ni miezi 6 sasa lakini haeleweki.

dalili zote hizo bado tu unaomba ushauri hata picha tu huoni????? pole baby Heinken
 
ACHANA NAE....YANI ILO SIO SWALI WEWE....yani umeseviwa henkn hutafutwi had uanze na bado unauliza...kenge wewe...acha ujinga huo
 
Last edited by a moderator:
Kuna kaka
alitokea kunipenda nami nikampenda hana dalili ya upendo hata kidogo.

Nikimuuliza anasema mpaka tufanya mapenzi kwanza pia hataki kujua jina
langu ananiita mpenzi au mke wangu na mara kwa mara huwa mimi ndio
nampigiaga simu nikikaa kimya inaweza ikapita wiki tatu bila
mawasiliano.

Ikitokea tukionana ndo hujifanya ananipenda nakutaka anichumu sasa
kilichonichosha kabisa ni siku niliyoangalia simu yake amenisave nani,
nilikuta kaandika heineken.

After all nikimwambia tuonane anataka tuonane wakati wagiza nikimuuliza
kaniacha? anakataa, nisaidieni nimwache mimi? Ni miezi 6 sasa lakini
haeleweki.

ongera kwa kuwa na roho ngumu.uwiiiii huyo kwangu hamalizi hata siku 3.

kwanza ni kosa la jinai kutonipigia sim maana akituma zaidi ya vimeseji vi 5 bila kupiga sijibu.( labda kama ni just a friend)

kaona umemzimikia ndo maana anakutesa.afu ana mtu, wew kakufanya spare tire.

dada kuanzia leo- USIMTAFUTE, akikutafta mwambie. UKO BIZE. na UKATE SIMU. Poleeee.
 
umempenda akakupenda lakini hana dalili za upendo?? sijaelewa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom