hahahahaha chezea nyegezi wewe hahaha bibi nae ana roho jaman,teh teh
atii nini????!!!!!! nina sime ndani ujueeee
Hahaha nikikumbuka comment zako kwny ishu za wivu na ulichoandika napata picha haswaa.yaani ukimuona huwezi amini ni lipande na bibi haswaa mapaja yamezeeka na yanamakunyanzi Kabisa lakin kamoo..ngoja nikanunue tindikali hakyanani ntapofua mtu macho mimi.
duh!!!!!! jooobu true true...
atii nini????!!!!!! nina sime ndani ujueeee
ukute ndo hicho mana hakina hata simile kinawaelezea watoto wake bila hata aibu na kinaropoka kwa sauti tu y eti kwakwel sikumbuki hata idadi ya wanaume nlotembea nao mana ni wengi sana" kuna siku nlikutana na boo kubwa balaa yani like likikuingia unalisikilizia mpaka tumboni"
Hahaha nikikumbuka comment zako kwny ishu za wivu na ulichoandika napata picha haswaa.
watakuua we kijana we!!! siku utakaponasa ndio utajua
Sasa kale kabibi akimkamata mpenzio si utamsikilizia kwenye bomba kwa maana atatekenywa sehemu hajawahi ujue....
Jamaa yako kishanasa...hapa sasa hivi ww upo jf bb yupo kifuani
Rafiki nina wivu wa ndani ndani ujue but I just take things simpo nikicompliketi naeza kufa siku si zangu nahivi yee yupo east mi north nkiwaza sitafanya kazi...FAITHFULNESS N TRUST IS EVERYTHING
Kabibi ka watu kalikuwa kanatania tu jamani...
wapo wa kushea lakini sio mabibi.