Latemba
New Member
- Feb 19, 2017
- 2
- 3
Kweli kabisa miss chagga. Inaonekana hao wanapendana sana ila saa nyingine wanazinguana ili kuona response ya mwenzake. Nimeukubali uchambuzi wako kwa 100%mnapendana nyie tena sana .. na hayo makejeli ni sababu moyo wenu hautaki muachane lakini akili mnailazimisha .. mnaweza badilika ila we binti mrembo hata ukipata mwingine usiwe na mdomo wa kujibu maneno mabaya bwana urembo wa mwanamke wa kwanza ni nywele (nitoboeni macho) cha pili kauli na utiii cha tatu kusali, cha nne mipango na bajeti namna ya kuzitumia vizuri ongezea na kudeka haloo ukiweza hivyo mwanaume lazima abdadilike ..