Simuelewi aliyekuwa shemela wenu...

Simuelewi aliyekuwa shemela wenu...

mnapendana nyie tena sana .. na hayo makejeli ni sababu moyo wenu hautaki muachane lakini akili mnailazimisha .. mnaweza badilika ila we binti mrembo hata ukipata mwingine usiwe na mdomo wa kujibu maneno mabaya bwana urembo wa mwanamke wa kwanza ni nywele (nitoboeni macho) cha pili kauli na utiii cha tatu kusali, cha nne mipango na bajeti namna ya kuzitumia vizuri ongezea na kudeka haloo ukiweza hivyo mwanaume lazima abdadilike ..
nna gumegume langu lenyewe linajiona zuuriii alafu baya tu nalivumilia lisijione halina bahat kila siku anakazi ya kunipandishia tu na halina lolote...wanawake wachache sana wanaojielewa
 
anataka kurejesha majeshi vip kwani wewe colony limechukuliwa tayar
 
mnapendana nyie tena sana .. na hayo makejeli ni sababu moyo wenu hautaki muachane lakini akili mnailazimisha .. mnaweza badilika ila we binti mrembo hata ukipata mwingine usiwe na mdomo wa kujibu maneno mabaya bwana urembo wa mwanamke wa kwanza ni nywele (nitoboeni macho) cha pili kauli na utiii cha tatu kusali, cha nne mipango na bajeti namna ya kuzitumia vizuri ongezea na kudeka haloo ukiweza hivyo mwanaume lazima abdadilike ..
Kumbe muda mwingine unajitoaga ufahamu tuu lkn ww ni wife material kbs,Kwa ushauri huu nakupa 100%
 
Habarini wadau wa humu?
Nina kama wiki tatu toka tumeachana na boyfriend wangu. Tuliachana kwa mesej zenye maneno makali sana. Yeye akinitolea laana nami nikimkashifu.
Tumekuwa watu wa kugombana kila mara hata baada ya kuachana.
Mwenzangu siku zote alikuwa akipata shida yoyote ndogo basi alikuja kwangu kuniambia na hapo moyo wake uliridhia. Hata kama siwezi kusaidia lolote ye akiniambia tu anaridhika.
Baada ya maugomvi yale muda mrefu sana hatukukaa kuongea lolote. Ilikuwa ni msg ya kejeli inarudi msg ya dharau.
Shemela wenu kunirusha roho akaniambia ye amepata mtu na ana ujauzito wake hivyo nimsahau kabisa katika maisha yangu. Akaapa kwa miungu yote haitotokea akarudi kwangu hata iweje. Wala hana future nami.
Kilichonishangaza baada ya ukimya wa siku kadhaa, jana amenitafuta kwa adabu zote. Ana shida ambayo ni mimi tu ninayeweza kumsaidia.
Nina uhakika hana mpenzi lakini nimemjibu hiyo shida hata mkewe anaweza kumsaidia.
Sijui kama nipo sahihi ndugu zangu. Ni mtu ambaye nilimsaidia kwa mengi sana kipindi ambacho hakuwa na msaada lakini baada ya kupata kazi tu akautumia msaada niliompa kama fimbo ya kunisengenya na kunichapa mwenyewe.
Nimejuta kumsaidia na ingawa namuonea imani bado nina mashaka kuwa baadae atarudi kunitukana kwa msaada nitakaompatia muda huu.
Siku zote mthamini mtu kwa kile kidogo alichokusaidia hata kama leo una kikubwa zaidi ya kile ndugu zangu.
cjaielewa hii muvie japo nime rewind zaidi ya Mara tatu
 
Jibu lako ndilo haswa lilimstahili. Shida yake utaitatua kama akikubali uwe mkewe. Full stop. mengine matokeo tu na kama ana haraka sana mbanie hapo hapo. Hutoi mpaka ndoa, hata ya mkeka tu
 
Ukiuendekeza moyo utaendelea kutumika kwenye matatizo yake mpaka ukome, nafikiri kitu kilichobora kwako ni kumpuuza !! Mpuuze hata akipiga simu usipokee au Chelewa kuipokea ili aone kwamba yeye si muhimu kwako,akituma SMS usimjibu maana unavyozidi kumuweka karibu ndivyo unavyojiandaa kujitengenezea kashfa atakazokuja kukukashifu baadae na uelewe uwezekano wa wewe kua mke ni finyu mnoo ila una nafasi kubwa ya kutoa misaada
"Kabla ya kufanya maamuzi chagua moja,kumuacha aendelee na safari kwa hapa mlipofikia au kumuacha arudi uje kua mshauri wake na mtoa misaada "
 
Jibu lako ndilo haswa lilimstahili. Shida yake utaitatua kama akikubali uwe mkewe. Full stop. mengine matokeo tu na kama ana haraka sana mbanie hapo hapo. Hutoi mpaka ndoa, hata ya mkeka tu
Aogope sana kumlazimisha ndoa na mwanaume mwenye maudhi kwa maana atajuta huko mbeleni
 
Habarini wadau wa humu?

Nina kama wiki tatu toka tumeachana na boyfriend wangu. Tuliachana kwa mesej zenye maneno makali sana. Yeye akinitolea laana nami nikimkashifu.

Tumekuwa watu wa kugombana kila mara hata baada ya kuachana.
Mwenzangu siku zote alikuwa akipata shida yoyote ndogo basi alikuja kwangu kuniambia na hapo moyo wake uliridhia. Hata kama siwezi kusaidia lolote ye akiniambia tu anaridhika.
Baada ya maugomvi yale muda mrefu sana hatukukaa kuongea lolote. Ilikuwa ni msg ya kejeli inarudi msg ya dharau.

Shemela wenu kunirusha roho akaniambia ye amepata mtu na ana ujauzito wake hivyo nimsahau kabisa katika maisha yangu. Akaapa kwa miungu yote haitotokea akarudi kwangu hata iweje. Wala hana future nami.

Kilichonishangaza baada ya ukimya wa siku kadhaa, jana amenitafuta kwa adabu zote. Ana shida ambayo ni mimi tu ninayeweza kumsaidia.

Nina uhakika hana mpenzi lakini nimemjibu hiyo shida hata mkewe anaweza kumsaidia.
Sijui kama nipo sahihi ndugu zangu. Ni mtu ambaye nilimsaidia kwa mengi sana kipindi ambacho hakuwa na msaada lakini baada ya kupata kazi tu akautumia msaada niliompa kama fimbo ya kunisengenya na kunichapa mwenyewe.

Nimejuta kumsaidia na ingawa namuonea imani bado nina mashaka kuwa baadae atarudi kunitukana kwa msaada nitakaompatia muda huu.

Siku zote mthamini mtu kwa kile kidogo alichokusaidia hata kama leo una kikubwa zaidi ya kile ndugu zangu.
Tatizo nyinyi mtaka msaidiwe nyie tu, c vbaya kumsaidia mpenzio na kingine wahenga wasema tenda wema usepe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom