I and myself
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 328
- 326
Jumla una anzia na pic ngapi
Pc tanoJumla una anzia na pic ngapi
1280 zimeniishia,ipo model ya 1650 torchNataka Hio Nokia Torch Nyeusi!
,tunajua kuna matoleo meng ya simu za nokia.na kila mmoja ina ubora na uthaman wake.na kila mtu ana mapenz yake.Nokia 3310 (2017) ni kiboko ya features phone zote. Hizo zako ni imara lakini haziendani na matumizi ya 2018.
![]()
Ww Jamaa Mbna Sikuelewi??Kiongz nadhan hii thready siyo ya mabishano,tunajua kuna matoleo meng ya simu za nokia.na kila mmoja ina ubora na uthaman wake.na kila mtu ana mapenz yake.
Kivp boss hunielew,ntafte kwenye namb yangu.Ww Jamaa Mbna Sikuelewi??
Mkuu mpo mkoa ganiiKivp boss hunielew,ntafte kwenye namb yangu.
Mikoa yote tupo,ukihtaj mzgo unapata ulipo.only logistic ya wewe kupata mzgoMkuu mpo mkoa ganii
Kivp boss hunielew,ntafte kwenye namb yangu.
We umenitafta kwenye voda nimeacha nyumbn charge.nko kwenye halotel yangu c unayo.nichek huko kiongzUmekata Mawasiliano Ghfla...Ulisema Unaenda Stendi Saa Tano Mpka Sasa Kimya....Mimi Ndie Mwenye Namba Ya Voda Inayoishia 32...Kma Imeshindikan sema Muda Muhimu Sanaaa.
Sasa mkuu ww ndio ulitakiwa kunicheki kwamba upo kwenye halotel maana hatukua tukiwasiliana kwenye halotelWe umenitafta kwenye voda nimeacha nyumbn charge.nko kwenye halotel yangu c unayo.nichek huko kiongz
jihadhari usijetapeliwa mkuuSasa mkuu ww ndio ulitakiwa kunicheki kwamba upo kwenye halotel maana hatukua tukiwasiliana kwenye halotel
Asante Mkuu!! Hakuna Usalama Nini?jihadhari usijetapeliwa mkuu
Kijana anaviashiria vyote vya utapeliAsante Mkuu!! Hakuna Usalama Nini?
Ndgu,nadhan hunijui,usidhan kila mtu ni tapeli,nyie ndio mnao rudisha maendleo nyuma nakuzushia watu matapel bila sababu,naomba ujitokeze hadharan ni kip nilichokutapel.Kijana anaviashiria vyote vya utapeli
Uje na uthbitisho wote.nimemtapel nan tangu nimeanz kufanya biashara hii,na wote walionunua sim kwangu wajitokeze hapa maana nadhan unakurupuka kuwalaghai watu nataka kuwatapel.be careful.ukitaka unifaham vyema njoo utanijua,Kijana anaviashiria vyote vya utapeli