Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Sawa ndgu yangu,simu ni orgnal.ntakufahamsha mzgo ukiingia week hii.
Shukrani, kama grisi ikiwa powa ntachukua 2.
Sawa ndgu yangu,simu ni orgnal.ntakufahamsha mzgo ukiingia week hii.
Mnapatikana wapi hapa dar?Karibuni watu wote mnunue simu orginal za nokia.
Nokia original kabisa ndogo ndogo,zile za tochi,na aina model nyingine zinapatikana.
Mzigo upo mwingi hata ukitaka PC 100 unapata..
UBORA WA HIZI SIMU:
Simu hizi ni imara na zinadumu na charge sana,hazina kelele kama simu zingine za kichina.ziko officially.nadhani baadhi ya wadau mnatambua ubora na uimara wa simu hizi.
hautajuta kutumia simu hizi.
BEI
kwa simu zote ndogo ndogo mfano,nokia za tochi na kuendelea,Bei ya simu ni elfu 17000/= kwa Jumla na elfu 20,000/= kwa wateja wa Rejareja.
Na kwa simu mfano Nokia Asha,x2,nokia Lumia na zingine Bei ni kuanzia elfu 70,000/=
hadi 150,000/=lakini na nusu.inategema ni model gani ya simu unayohitaji.
kumbuka bei hii ni promotion,haipungui hata senti tano,usichelewe.
Mawasiliano
kwa watu wote wanaohitaji mzigo basi wapige namba hii
0626152699
ANGALIZO
wateja serious pekee wanakaribishwa
View attachment 682101 View attachment 682100 View attachment 682100 View attachment 682099 View attachment 669691 View attachment 669691 View attachment 669688 View attachment 669688 View attachment 682104 View attachment 682104 View attachment 682105 View attachment 682106 View attachment 682106 View attachment 682107 View attachment 682108 View attachment 682108 View attachment 682109 View attachment 669688
View attachment 682147 View attachment 682148
Bugurun
Sawa,nitafte inbox kiongzBugurun
Dar kuna mtu anasambza,hvyo kma ukihtaj naweza nkakupatia mawasiliano yake.Mnapatikana wapi hapa dar?
Gris kaka italainisha tu,kikubwa uzima ndgu yangu.Shukrani, kama grisi ikiwa powa ntachukua 2.
Asha hyo sina,,naomba nkwambie ,sio nokia zote ninazo.,zingne kama mtu anahtaj anatoa order namletea ndgu.Mkuu... Niliomba picha ya Asha 202... Kimya mbona???
Kwa sasa hii sina,may be uniambie nikuletee trip hii.Hiyo naweza kuipata kwa sh ngapi
,nokia c3 utaipata,na x2 ipo.kama uko bukoba ni kwenye bus utatumiwa,ila uwe serious,watu mnasema mtumiwe kisha mnapotea wala mzgo hampokei.mnakatsha tamaaMi nahitaji niko Bukoba C-X3
Nilianza kuuliza..Una Nokia Asha 202 mkuu?
Nikauliza tena...Ipo utapata kwa elfu 80 mpya,
Ukajibu..Za kugombania au za kutosha, maana nipo mkoa, next week narudi Dar
Kuna mungine akaomba nikijibiwa Na yeye nimjuze..Kwa asha utapata wakt wowte ila hz ndgondg ndo zakugombnia.
Ukamjibu.Ukijibiwa nambie mkuu
Now unayakana maneno yako.. wakati ulisema zipo wakati wowote..Nishamjibu,ipo kwa elfu 80,
Haya bhana... Biashara njema kaka...Asha hyo sina,,naomba nkwambie ,sio nokia zote ninazo.,zingne kama mtu anahtaj anatoa order namletea ndgu.
Subr nirud toka safar kiongz,cm yako utaipata,asha uliyohtaj ni 202,na aina ya nokia asha zilizokuwepo ni nyingne japo toleo ni mmoja.nkirudi tz ntakutafta .niinbox namba yako.nikileta nitaktafta.pole.Nilianza kuuliza..![]()
Ukajibu..![]()
Nikauliza tena...![]()
Ukajibu..![]()
Kuna mungine akaomba nikijibiwa Na yeye nimjuze..![]()
Ukamjibu.![]()
Now unayakana maneno yako.. wakati ulisema zipo wakati wowote..![]()
![]()
Haya bhana... Biashara njema kaka...
Bei gani ?,nokia c3 utaipata,na x2 ipo.kama uko bukoba ni kwenye bus utatumiwa,ila uwe serious,watu mnasema mtumiwe kisha mnapotea wala mzgo hampokei.mnakatsha tamaa
75000 simon,nitakuja nayo.nishakuja kuchukua mzgo.andaa cash.Bei gani ?