Lameck Masanja
Senior Member
- Aug 5, 2011
- 154
- 238
Nyeusi naweza subiri kwa muda gani?Nimeattack picha hapo juu unaweza pata rang hii
Nyeusi naweza subiri kwa muda gani?Nimeattack picha hapo juu unaweza pata rang hii
Shukrani mkuu nitakutafuta nikipata hela. Napenda sana NokiaPole,ningekukopesha lakn mkopo mpaka mwaka kesho,ila ukiwa na nia karbu ntakupunguzia kidogo angalau.
Una Nokia Asha 202 mkuu?Nokia au mchina?kama ni nokia double line utapata kwa elfu themanini,ni asha.
Ipo utapata kwa elfu 80 mpya,Una Nokia Asha 202 mkuu?
Weka ka picha boss...Ipo utapata kwa elfu 80 mpya,
Za kugombania au za kutosha, maana nipo mkoa, next week narudi DarIpo utapata kwa elfu 80 mpya,
Karibu kiongz,tecno zinapatikana ila kwa thready hii nimespecilize kwenye nokia.ukitaj tecno utaipata.Weka na vitecno, mimi mdau wa tecno
hivi hizi simu bado zipogo??
Karibu sana kiongz.Shukrani mkuu nitakutafuta nikipata hela. Napenda sana Nokia
Weka picha na beiKaribu kiongz,tecno zinapatikana ila kwa thready hii nimespecilize kwenye nokia.ukitaj tecno utaipata.
Kwa asha utapata wakt wowte ila hz ndgondg ndo zakugombnia.Za kugombania au za kutosha, maana nipo mkoa, next week narudi Dar
Zipogo boss karibu sanahivi hizi simu bado zipogo??
Mkuu sina picha kwa sasa,lakn pia unajua tecno wanasm nyng sana,ni vyema useme unataka design ipi,itakuwa rahs kukuchagulia ktokana na vgezo vyako kiongzWeka picha na bei
Una Nokia Asha 202 mkuu?
Nishamjibu,ipo kwa elfu 80,Ukijibiwa nambie mkuu
2690 kwa order utapata sh. Elfu 70...2690 na N8 unazo?