Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Inakwenda ngapi mkuu
25b4ba6f5fc5bfe06fe9b7501eb3e80f.jpg
 
Hiyo simu iliyo chini ya LUMIA naitaka. Nipo Mbeya hebu nipe taratibu za kufuata na total cost.
Mvuv hiyo ni nokia 1110,utaipata kwa elfu 25,000/=mbeya uko maeneo gan,nina mtu hapo ambae naweza nkamtumia yeye kisha ukaichukua kwake.
 
Nauliza hili swali for the last and last time;

Nokia 6720 unauza shilingi ngapi?

Ulisema unayo ila bei hukunitajia mkuu, nilikuuliza zaidi ya mara mbili.

Ikikupendeza jibu, isipokupendeza ni heri pia.
Kaka nadhan nilikufahamisha yakuwa utaipata kwa lak mmoja nadhan,hili toleo unalohtaji nimetoa order na nategemea week hii ntaipokea.tuwasiliane tu kiongz,pole kama hukunielewa.
 
Kaka nadhan nilikufahamisha yakuwa utaipata kwa lak mmoja nadhan,hili toleo unalohtaji nimetoa order na nategemea week hii ntaipokea.tuwasiliane tu kiongz,pole kama hukunielewa.

Hapana, hukunijibu kabisa kuhusu bei.

Nokia 6720 Classic nayoiulizia ni hii hapa chini,

upload_2018-1-23_10-16-51.jpeg

Ikifika nijulishe mkuu, naihitaji sana.

Ila iwe original tafadhali.
 
Daaah nahitaji sana nokia hii nyeusi, ila zisiwe zile za kichina mwanga wa screen kama mtu kawasha tochi pembeni ya screen
Nokia obama utaipata kiongz,zile za kichina hazifai,siku mbili zishakufa.hazina ubora.
 
Back
Top Bottom