Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Mkuu unauza Na spea zake???? Mimi nina Nokia 206 imekufa display pia nataka kubadili housing
 
Kuweni makini sana jamani hizi biashara za mitandao kuna aina zifuatazo za binadamu

Wafanyabiasha wa uwongo
Wafanyabiashara wa ukweli
Wafanyabiashara wa uwongo na ukweli

Vile vile kuna

Wateja wa uwongo
Wateja wa ukweli
Wateja wa uwongo na ukweli

Wanapokutana sasa thread nzima inajaa lawama.

 
Mkuu nahitaji Nokia N95 au N96 nitaipataje. Nitafurahi ukinijulisha na bei zake hizo simu nikizotaja hapo juu. Nipo Dar.
 
Bei gani?
th-jpg.682104
 
Toa na utaratibu wa hizi simu kutufikia kama ikiwezekana weka na mawasiliano kabisa..kweli tunahitaji lakini unakuta tupo mbali na wewe
 
Jamaa anazngua sana, mi aliniambia mzigo anashushia DSM tukakubaliana kesho yake tukutane tufanye biashara. Kesho yake namtumia txt mpak inafika jioni hajajibu hata moja , badae anasema et mzigo upo moshi yan jamaa anakera balaa,amenifanya na mimi nionekane muongo kwa mtu aliyeniagiza nimtafutie sim
Daaah!! Vipi Lakin Umepqta Huo Mzigo? Dalili Zake Zinashangaza Sanaa!
 
Kuna mtu yeyote humu ameshafanya biashara na huyu jamaa? Mana kila mmoja analalamika the way unavyowapiga sound , mi mmoja wapo nilitaka nichukue pc 3 lakin daily unasema ndo unasafiri, mara sijui upo safarini. Kiukweli ulinikera sana mana nimekaa wiki tatu kufatilia hizo sim bila mafanikio
Aaahhhh!!! Aaaahhh! Mimi Nimepoteza Two Week Kwa Biashara Isioisha Na Tatizo Huwa Kwa Muuzaji, Daah Kuna Watu Wana Utani Na Muda Aisee!!!
 
Back
Top Bottom