Erickjr
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 994
- 788
Aaaahhhaaa!!! Aaaahhh!!! Aaaahhh!! Daaahhh!!!Mkuu ni majuzi tu hapa ulisema upo Moshi umesahau?
Aaaahhhaaa!!! Aaaahhh!!! Aaaahhh!! Daaahhh!!!Mkuu ni majuzi tu hapa ulisema upo Moshi umesahau?
Yaan Na Mimi hivyo hivyo ikifika siku ya ahadi MTU anapotea kabisa mpk aumin km ndio yy Uliekua Unawasiliana Nae Siku Moja Kabla...Labda Mkuu Anaaangalia Alie Mzembe Kwenye Pesa Zake Ndie Amzamishe.Na ulisema mzigo utakuja nao DSM posta,siku tuliyokubaliana kukutana ukawa hujibu text na bahati mbaya sikuwa na dakika za kukupigia
Na Pia Hakuna Mtu Alieleta Evidence Ya Kufanikiwa Kwenye Hii Biashara Na Pia Muhusika Ajaleta Evidence Yyte Ya Biashara Yake Zaidi Ya Maneno Tuuu Hakuna Picha Halisi Za Simu, Even Yy Mwenywe WhatsApp Hana, Anasema Anao Wateja Ajajitokeza Hata Mmoja, Pili Ukikubaliana Nae Inshue Aitatimia Kamwe Sasa Kwa Mambo Haya Watu Wafikirie Nini?Ila nawe si yaishe mbona mmeulizwa kama kuna mtu aliyewahi kuliwa hela yake mbona hajitokezi sa utapeli wake uko wapi au mnapenda magomvi tu.
Even Me! But Nimemmind Kichizi Kanipotezea Muda Wangu.Nishakata mawasiliano nae na simu nimeshanunua dukan
Usidanganye watu humu mkuuKaribuni watu wote mnunue simu orginal za nokia.
Nokia original kabisa ndogo ndogo,zile za tochi,na aina model nyingine zinapatikana.
Mzigo upo mwingi hata ukitaka PC 100 unapata..
UBORA WA HIZI SIMU:
Simu hizi ni imara na zinadumu na charge sana,hazina kelele kama simu zingine za kichina.ziko officially.nadhani baadhi ya wadau mnatambua ubora na uimara wa simu hizi.
hautajuta kutumia simu hizi.
BEI
kwa simu zote ndogo ndogo mfano,nokia za tochi na kuendelea,Bei ya simu ni elfu 17000/= kwa Jumla na elfu 20,000/= kwa wateja wa Rejareja.
Na kwa simu mfano Nokia Asha,x2,nokia Lumia na zingine Bei ni kuanzia elfu 70,000/=
hadi 150,000/=lakini na nusu.inategema ni model gani ya simu unayohitaji.
kumbuka bei hii ni promotion,haipungui hata senti tano,
ANGALIZO
Sipokei pesa ya mtu kama hajapokea simu na kukagua,maana kuna watu wanajaribu kuchafua thready yangu wakidai wametapeliwa.hivyo sipokei pesa ya mtu kama hajapokea mzgo.
wateja serious pekee wanakaribishwa
View attachment 682101 View attachment 682100 View attachment 682100 View attachment 682099 View attachment 669691 View attachment 669691 View attachment 669688 View attachment 669688 View attachment 682104 View attachment 682104 View attachment 682105 View attachment 682106 View attachment 682106 View attachment 682107 View attachment 682108 View attachment 682108 View attachment 682109 View attachment 669688
View attachment 682147 View attachment 682148 [/B]
Mkuu weka namba za cm bx tafadhalKaribuni watu wote mnunue simu orginal za nokia.

Subr nirud utaziona..Usidanganye watu humu mkuu
Hizi lazima zitakuwa copy
Nimeuza simu mwaka wa 5 sasa
Kuwa wazi usiaribu jina humu
Ok.niko safarn mkuu.nkirud ntaktafta.thankxDah mkuu nimefatilia uzi wako ila sijaona mtu hata mmoja aliyeleta ushuuda wakupata simu zaidi yalawama2 kama utakuwa serious nahitaji Nokia Obama original nanitachukua kuanzia cm 10 ila nipo mkoa
Pole,nko safarn kiongz,kuchukua mzgo.Mkuu weka namba za cm bx tafadhal
Utarudi lini, mimi nahitaji pc 5Pole,nko safarn kiongz,kuchukua mzgo.