Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

Hami mi sina duka kwa sasa
.mzigo nasafir nje na kuleta...hivyo ukitaka mzigo nitafute kwa simu tuzungumze boss
We mzee, nna sms zako tulizowasiliana baada ya kukubliana ulete simu.. namba yako ninayo ... EBU TUAMBIE, NI KWELI UNAUZA SIMU AU UNATAKA KUTUPIGA CHANGA? MAANA NIMEWASILIANA NA WEWE HUSEMI LOLOTE NA KWA SASA HUPATIKANI
 
nimepitia huu uzi wa huyu ndugu yetu kiukweli nahitaji kununua simu kwake ila kila akiulizwa uko wapi?anarukaruka tuuu mara mtu ataje alipo utasikia utaletewa simu yako yupo mtu nikifika hapo tu miguu inakufa ganzi
 
Hawa ni wababishaji na ikibidi huu uzi ufutwe na mods,hatuwezi kuwa tunaamini kuna biashara afu wanachikichia..bure kabisa hawa
 
Huyu jamaa aliishia wap? Kuna waliofanikiwa kufanya bussines nae? Whetever awe anazo yeye au yeyote humu nina shda na hz nokia
nahtaj pc tatu,

E6
E55
E72
E75
E90

N81
N82
N85
N96 au nokia 112 dual sim, nataka mbili au tatu zozote kat ya hzo hapo.

VERY SERIOUS
 
Huyu jamaa aliishia wap? Kuna waliofanikiwa kufanya bussines nae? Whetever awe anazo yeye au yeyote humu nina shda na hz nokia
nahtaj pc tatu,

E6
E55
E72
E75
E90

N81
N82
N85
N96 au nokia 112 dual sim, nataka mbili au tatu zozote kat ya hzo hapo.

VERY SERIOUS
Shanitapeli huyo achana nae tapeli mkubwa huyo
 
Huyu jamaa aliishia wap? Kuna waliofanikiwa kufanya bussines nae? Whetever awe anazo yeye au yeyote humu nina shda na hz nokia
nahtaj pc tatu,

E6
E55
E72
E75
E90

N81
N82
N85
N96 au nokia 112 dual sim, nataka mbili au tatu zozote kat ya hzo hapo.

VERY SERIOUS
AShanitapeli huyo achana nae tapeli mkubwa huyo
 
Karibuni watu wote mnunue simu orginal za nokia.
Nokia original kabisa ndogo ndogo,zile za tochi,na aina model nyingine zinapatikana.
Mzigo upo mwingi hata ukitaka PC 100 unapata..
UBORA WA HIZI SIMU:
Simu hizi ni imara na zinadumu na charge sana,hazina kelele kama simu zingine za kichina.ziko officially.nadhani baadhi ya wadau mnatambua ubora na uimara wa simu hizi.
hautajuta kutumia simu hizi.
BEI
kwa simu zote ndogo ndogo mfano,nokia za tochi na kuendelea,Bei ya simu ni elfu 17000/= kwa Jumla na elfu 20,000/= kwa wateja wa Rejareja.
Na kwa simu mfano Nokia Asha,x2,nokia Lumia na zingine Bei ni kuanzia elfu 70,000/=
hadi 150,000/=lakini na nusu.inategema ni model gani ya simu unayohitaji.
kumbuka bei hii ni promotion,haipungui hata senti tano,

ANGALIZO
Sipokei pesa ya mtu kama hajapokea simu na kukagua,maana kuna watu wanajaribu kuchafua thready yangu wakidai wametapeliwa.hivyo sipokei pesa ya mtu kama hajapokea mzgo.
wateja serious pekee wanakaribishwa
View attachment 682101 View attachment 682100 View attachment 682100 View attachment 682099 View attachment 669691 View attachment 669691 View attachment 669688 View attachment 669688 View attachment 682104 View attachment 682104 View attachment 682105 View attachment 682106 View attachment 682106 View attachment 682107 View attachment 682108 View attachment 682108 View attachment 682109 View attachment 669688
View attachment 682147 View attachment 682148 [/B]
Nataka Nokia lumia 1520
 
we jamaa soma uzi uone, wenzako wamekula za shngo na wewe unataka ukale za uso?
 
Kuweni makini sana jamani hizi biashara za mitandao kuna aina zifuatazo za binadamu

Wafanyabiasha wa uwongo
Wafanyabiashara wa ukweli
Wafanyabiashara wa uwongo na ukweli

Vile vile kuna

Wateja wa uwongo
Wateja wa ukweli
Wateja wa uwongo na ukweli

Wanapokutana sasa thread nzima inajaa lawama.

 
Back
Top Bottom