RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,678
- 129,264
Ila kama pikipiki unaifanyia biashara it's good deal kwasababu hela iliotoka mfukoni kwako ni 400,000/- tu. Tatizo hatuna nidhamu ya fedha.Same applies kwa pikipiki zao, unaanza na down-payment ya Tsh.400,000 then unalipa Tsh.86,000 weekly.
Tsh.86,000×4×12 = Tsh.4,128,000 + down-payment ya Tsh.400,000 ni kama Tsh.4,528,000
Wakati huo, ungeenda na Tsh.3,350,000(?) ungenunua HLX125 bila kusumbuka.