Mkuu kama ulijua vile,hao akina mama walipandia pale pale mbeya mjini,yaani nilikereka sema basi tu sikutaka shari na mtu.Ni ulimbukeni tu, na simu za mchna zilivojaa mwanjelwa sipati picha wasafwa wanavowasumbua wageni kwa michina yao.
Ni ulimbukeni tu, na simu za mchna zilivojaa mwanjelwa sipati picha wasafwa wanavowasumbua wageni kwa michina yao.
mshamba plus simu ya mchina usiombe ni balaa wako sana mwanza..
sasa hapo nani wa kulaumiwa? Ni umaskini tulionao watz wengi. Mi mwenyewe sizipendi simu za kichina! Ila ni rahisi kuzipata. Ila sijui kuhusu ubora wake na madhara yake labda. TATIZO NI UMASKINI!
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us