Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
mkuu simu za kichina hazina silence, kama huamini fanya uchunguzi utagundua, halafu wote wanaotetea simu za kichina humu ujue wanatumia, kibaya simu ya kichina huwezu kuifichaha ha ha haaaaaa... Hii noma yana vibrate kama engen ya bedford vile... Yani yale hata ukiweka silence na ukaeka vibration usiku akakupigia mtu... Kwa vibration yake inavyo tikisa vitu apo mezani kama kwenye epicentre ya earthquake... Lazima uamke tu...!!! So mtu mwenye simu ya mchina hata akikwambia "ckuskia call yako coz simu ilikua kwenye vibration.. ¡± jua muongo tu uyo.. Ile hata ukiiweka juu ya manyoya.. Ikivibrate utaiskia tu..!!!