Hii ni kitu ganii
Kwani Hornet kwenye safari ya Jemima Mrembo ulikuwepo pia?.
Hahaha we nikwepe tu, nilitaka picha bhana yeye alitukatili mno hata hatujaona mazingira kwa uzuri.Hahaaa Hapana sikuwepo [emoji28]
Duuh
Hii ndio Stock Android au[emoji848][emoji848]Watu tunaipenda kwasababu ya simplicity tu na ni kati ya app ya sms inayopendwa na wengi.
There is beauty in simplicity.
View attachment 2055976
SanaaDuuh
Kwa kweli Samsung zinavutia[emoji7][emoji7]