mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 32,086
- 39,573
Hiyo ya google imekaa kiduanzi sana.Ni yeye mwenyewe kaamua kutumia..mm bado naprefer kutumia default msg app maana ndo nimeizoea.
Hiyo ya google imekaa kiduanzi sana.Ni yeye mwenyewe kaamua kutumia..mm bado naprefer kutumia default msg app maana ndo nimeizoea.
Ulielewa sana hydrology Eng....
Naheshimu kazi yangu ndo inayoniweka mjiniUlielewa sana hydrology Eng....
Nimesoma habari kuwa samsung ataitupa android ahamie fuchsia OS siku za usoni lakini miaka kadhaa ijayo. Fuchsia ni OS nyingine ya google ambayo itaweza kutunika kwenye vifaa mbalimbali kama simu, tv, tablet, pc na mengine.samsung nao wameanza kukabwa kutumia haya ma app ya google caller na sms app[emoji16][emoji16][emoji16].
ndio wakati wa kuwekeza nguvu ios,android wanapenda ujinga sana.
Watu tunaipenda kwasababu ya simplicity tu na ni kati ya app ya sms inayopendwa na wengi.Hiyo ya google imekaa kiduanzi sana.
Nimesoma habari kuwa samsung ataitupa android ahamie fuchsia OS siku za usoni lakini miaka kadhaa ijayo. Fuchsia ni OS nyingine ya google ambayo itaweza kutunika kwenye vifaa mbalimbali kama simu, tv, tablet, pc na mengine.
Imekuwa developed kuanzia chini haitumii kernel ya linux kama ilivyo kwa android. Nimesoma kuwa samsung naye kashiriki kwenye uundaji wake hivyo huenda akawa wa kwanza kwanxa kuitumia
Watu tunaipenda kwasababu ya simplicity tu na ni kati ya app ya sms inayopendwa na wengi.
There is beauty in simplicity.
View attachment 2055976
Apple yah kwa simplicity na design hana mpinzani. App za apple ni nzuri hata za thirdparty ni nzuri sanaaaah wapi.
simplicity na design vinatakiwa viwe sambamba,hapo ndipo apple anapiga hawa wajinga wajinga.
hata font kashindwa kuweka yenye mvuto,font imekaa kama mwandiko wa mkono wa kushoto.
Sijui Fuchsia itakuwa na kipi cha ziadana ndiye mdau mkubwa sana kwenye OS ya android,ameibeba sana.
Nakuona kama mshamba fulani vile!