Reno 10 5G ni simu nzuri sana. Kioo ni AMOLED 6.7" 120Hz curved, display safi sana. Chaji 67W ni fast, battery 5000mAh. Speaker iko vizuri, camera pia nzuri, na ina 5G. Kwa matumizi ya kawaida hadi gaming ya kati inafanya vizuri.Nataka OPPO RENO 10 5G ipoje hii simu hasa kioo,speak chaji nk
Mad Max
Madhara Yake niniSiku hizi unakuta unaambiwa simu unayonunua itapata upgrades 6 mbele. This means simu utayonunua leo itaendelea kua mpya mpaka updates 6 za android.
Mfano hii inatumia Android 13 na utaupdate kwenda Android 15 kisha mwisho ni hapo. Wakati sasa hivi tayari watu wapo Android 16.
Ni simu nzuri in terms of specifications za hardware ila kwenye software ipo nyuma.
Nimetokea kuipendaMadhara Yake nini
Haina madharaMadhara Yake nini
Nyuma ya mwaka mmoja sio mbaya Ht kdgSiku hizi unakuta unaambiwa simu unayonunua itapata upgrades 6 mbele. This means simu utayonunua leo itaendelea kua mpya mpaka updates 6 za android.
Mfano hii inatumia Android 13 na utaupdate kwenda Android 15 kisha mwisho ni hapo. Wakati sasa hivi tayari watu wapo Android 16.
Ni simu nzuri in terms of specifications za hardware ila kwenye software ipo nyuma.
Naweza kukaa nayo hata miaka 2??Nyuma ya mwaka mmoja sio mbaya Ht kdg
Ndio, hata zaidi ya hapoNaweza kukaa nayo hata miaka 2??
ar naweza pata Duka Gani simu Sahihi,,Ndio, hata zaidi ya hapo
Sifahamu mkuuKwa Upendo hapo d
ar naweza pata Duka Gani simu Sahihi,,
Nilishapigwa January simu ya laki 390,000/ niliotolea laini hazisomi,,Acha tuuu